Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,012
- 26,172
VPN inakula bando sana, ila naskia MATAGA wanaingia twita bila vpn.kwa bando hizi au uwe na vpn hufui dafu
VPN inakula bando sana, ila naskia MATAGA wanaingia twita bila vpn.kwa bando hizi au uwe na vpn hufui dafu
Haha, imebidi nicheke aisee. Nitasubiri mwaliko wa kanisani.. huenda nikapata kibali. Hivi mbona unapenda kunipiga dislike kila siku, ujuwe sikupendi shemasi!Whts wrong best? HhaH kinge cha kisukuma lazima ucheke best ntakuja kukutembelea mtumishi tujue tunasaidianaje mie najua tukiwa watu wazima ndo tunarudi kanisani wenye kuokoka wanaokoka sasa ww unataka ukasali alikokua baba jeska?
Mkuu kipindi maamuzi fulani yakitaka kufanywa pale ambapo wapinzani walilalamika kuna kundi la watu lilijua haita wahusu hivyo walipiga debe kweli kweli jambo hilo kupita ila muda kidogo wakaja kugundua kumbe na wao wapo linawahusu pia sasa wako kimya .Aisee...
Nchi hii niya kijamaa mfumo wa hovyo kabisaMaisha ya kibeberu hakuna kumuachia Mungu, hii mbinu walileta wakoloni weupe, wakoloni weusi wakairidhi mwaka 1961 na mpaka leo wanandelea nayo.
Mh Rais Hassan kishaambiwa na TBC avae viatu vya MAGU, MATAGA wanataka atekeleze ya MAGU, mama kachanganyikiwa, ila naamini jumanne atakuwa kishamtumbua Lindugu-lilee, na team yakekatika hili la kupandishwa kwa gharama za vifurushi wa kilaumiwa ni mwendazake na matamko yake.
mwendazake alikuwa hapendi kukosolewa, alionyesha chuki kwa watu waliokuwa wanamkosoa kupitia mitandao ya kijamii. akafika hatua ya kutamani malaika washuke wazime mitandao yote.
washauri wake kwa kutambua chuki ya boss wao kwa mitandao, wakaona bora wamfurahishe, wakaja na idea za kutumia vpn kwa upande wa twitter (japo haijasaidia) na kuongeza gharama za vifurushi.
matokea ya idea hizo ndio hii bei mpya ya kikatili ya vifurushi ambayo imekuwa gumzo siku ya leo.
ndungulile na team yake walisukumwa zaidi na utashi wa kisiasa kuliko utu ili wamfurahishe boss wao(mwendazake).
nina imani kubwa na mama samia. najua atafikishiwa malalamiko ya hii bei mpya ya vifurushi ambayo sio rafiki kwa mwananchi mwenye kipato cha chini. hapana shaka mama
atatoa amri ya kufutilia mbali.
Obama alipo ona watu wa chini nchini Marekani hawamudu gharama za matibabu kwa sababu ya ughali wake akaja na Obama care ambayo ni msaada mkubwa sana kwa watu wenye kipato cha chini ila Tanzania kiongozi yako bize kupandisha gharama za maisha.katika hili la kupandishwa kwa gharama za vifurushi wa kilaumiwa ni mwendazake na matamko yake.
mwendazake alikuwa hapendi kukosolewa, alionyesha chuki kwa watu waliokuwa wanamkosoa kupitia mitandao ya kijamii. akafika hatua ya kutamani malaika washuke wazime mitandao yote.
washauri wake kwa kutambua chuki ya boss wao kwa mitandao, wakaona bora wamfurahishe, wakaja na idea za kutumia vpn kwa upande wa twitter (japo haijasaidia) na kuongeza gharama za vifurushi.
matokea ya idea hizo ndio hii bei mpya ya kikatili ya vifurushi ambayo imekuwa gumzo siku ya leo.
ndungulile na team yake walisukumwa zaidi na utashi wa kisiasa kuliko utu ili wamfurahishe boss wao(mwendazake).
nina imani kubwa na mama samia. najua atafikishiwa malalamiko ya hii bei mpya ya vifurushi ambayo sio rafiki kwa mwananchi mwenye kipato cha chini. hapana shaka mama
atatoa amri ya kufutilia mbali.
Hahahaa nimekumbuka uliwahi niambia hupend dislike .hahaa nakupaga dislike jukwaa letu la siasa .naitoa mtumishi..karibu sana kanisaniHaha, imebidi nicheke aisee. Nitasubiri mwaliko wa kanisani.. huenda nikapata kibali. Hivi mbona unapenda kunipiga dislike kila siku, ujuwe sikupendi shemasi!
mwendazake likuwa anaongea kinyume, kumbe alikuwa hataki wanyonge wapate habari, noma sana.Obama alipo ona watu wa chini nchini Marekani hawamudu gharama za matibabu kwa sababu ya ughali wake akaja na Obama care ambayo ni msaada mkubwa sana kwa watu wenye kipato cha chini ila Tanzania kiongozi yako bize kupandisha gharama za maisha.
tuna safari ndefu sana, Tanganyika kuna watu wajinga kuliko manyani, alafu yanashangilia tu.Wangexe san sijui wanafikiliaga nini ila najua ma hackers tutatafuta njia katikati ya bonde la mauti
Mkuu BPN ndo nin hicho tulimishaneBPN ni nidhaa muhimu kua nayo kama bile chumvi jikoni
soon wataibadil jina iwe tweeCCMVPN inakula bando sana, ila naskia MATAGA wanaingia twita bila vpn.
VPN itahusika.
Nchi za kiarabu nyingi pia hawawezi piga video wala voice mpaka wawe na VPN.
Lkn siku zote binadamu huwa anatafuta tundu la kutokea tuu.
wata-block vpn ngapi?. kila siku zinabuniwa app mpya zinazotoa huduma za vpn.Chezea hii mijamaa wewe, hata vpn inaweza ikablock tukose yote [emoji23][emoji23][emoji23] tatizo liko kwa mh waziri, so hawa wananzengo wanafanya wanavyotaka kutufanya hakuna wa kuwapangia.
Haha, mtumishi huko siasani mwendazake kaenda, yeye nilikuwa namu admire tu, sidhani kama itatokea tena.Hahahaa nimekumbuka uliwahi niambia hupend dislike .hahaa nakupaga dislike jukwaa letu la siasa .naitoa mtumishi..karibu sana kanisani
Pole sanaHaha, mtumishi huko siasani mwendazake kaenda, yeye nilikuwa namu admire tu, sidhani kama itatokea tena.
Ndio maisha shemasi, sote njia moja.Pole sana