Ndugulile: WhatsApp call zimeathiri simu za nje

Ndugulile: WhatsApp call zimeathiri simu za nje

Serikali badala ya kusaidia watu inakomoa watu..aunkwa vile wao wanafungu wanalipwa kea ajili ya bundles
 
Nimeumia mtumishi, Ila sio kesi...nitasimamia ndoa kanisani kama shemasi mkuu
Karibu sana mtumishi..lakini na ww umeasi siku hizi...usinirudishe Ninawi!😅😅 shemejio mthunguuu hapa niko kwa Ras Simba Maganzo😅
 
Tutamkumbuka kwa lipi? Wakati yeye ndio alie asisi haya mabadiliko ya Mitandao Ya Simu kabla ya kufa kwake.

Kitu pekee ambacho tutamkumbuka ni, hakufanikiwa kuishi mpaka kuona haya mabadiliko ya bei za vifurushi alioyataka.
Mkuu, huu ndiyo ukweli! Labda tumkumbuke kwa kuanzisha huu upuuzi! Yaani Jiwe, asirudi kabisa!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Alipokua anapambana na bashite akamshinda mlifurahi sanaaa.
Malipo NI hapa hapa.
Nyie wakumcheka bashite kakatwa?
Mataga wanataka kuturudisha kwenye zama za ujima, sijawahi kuona daktari wa ajabu kama ndungulile, huyu alitakiwa awe mganga wa kienyeji
 
Karibu sana mtumishi..lakini na ww umeasi siku hizi...usinirudishe Ninawi![emoji28][emoji28] shemejio mthunguuu hapa niko kwa Ras Simba Maganzo[emoji28]
Hahaha, sasa kizungu ukichanganya kisukuma mimi nakimbia [emoji39][emoji39][emoji23], mimi sijaasi Ila niko mwelekeo mwingine kabisa kwa sasa. Hizi habari zenu zisitaki..
 
Baada ya leo taerhe 2-4-2021 Makampuni ya Simu yakiwa na nia ovu kupandisha bei za vifurushi na kufuta ofa zote.

Insemekana watu wanahamia kupiga simu kwa watsup, nako huko waziri anafanya mchakato watusp voice call ifungiwe hapa Tanganyika.

Magu alisema tutamkumbuka, nafikiri kuanzia leo tumeanza kumkumbuka.

MATAGA wameloa , maana hawaamini, walijua wapinzani pekee ndio wataadhirika na kupanda kwa bei.

Hii imechagizwa na agzo la Mh Hassan aliposema waziri wa fedha akakusanye trilioni 2 kwa mwezi, sasa mzigo unapelekwa kwenye simu, tukishazuiwa kupiga simu kwa watsup, itatulazimu kununua dakika kwa bei ghali, yaani karibuni tutarudi kuandikiana barua.

Makundi ya wasap ya umbea yanakwenda kufa soon, MITANO TENA.
Kwan aliyeacha kamteua huyo waziri ni nani? Na wakata anatangaza haya Magu alikuwa bado hai wala hakupinga. Hivi watanzania tunasahau haraka hivi! Ndiyo maana JK kwenye msiba aliamua kuweka rekodi sawa kuwa ni ndani ya kipindi chake aliunga mikoa yote kwa barabara mpaka anaondoka ni mikoa miwili tu ambayo ilikiwa haijaungwa😊
 
Wanafunzi wa vyuo watapata shida sana na bado tutaisoma namba sio kijani wala khaki ukitaka kuamini rejea ya sukari na mafuta viongozi wako kimya
 
Hahaha, sasa kizungu ukichanganya kisukuma mimi nakimbia [emoji39][emoji39][emoji23], mimi sijaasi Ila niko mwelekeo mwingine kabisa kwa sasa. Hizi habari zenu zisitaki..
Whts wrong best? HhaH kinge cha kisukuma lazima ucheke best ntakuja kukutembelea mtumishi tujue tunasaidianaje mie najua tukiwa watu wazima ndo tunarudi kanisani wenye kuokoka wanaokoka sasa ww unataka ukasali alikokua baba jeska?
 
Back
Top Bottom