Ndugu yangu umasikini anauaga!

Habari zenu GT.
Nmetumiwa sasa hivi taarifa na ndugu yangu amempata mchumba kupitia hii mitandao kua amesoma profile yake na amegundua ni mtu makini. Sasa kilichotokea huyo mchumba ni wakike amemwambia asitoe siri maana atamtumia $ million kadhaa katika acount yake...halafu achukue kidogo amtumie kwa ajili ya safari ili amfuate alipo!
Je inawezekana au ndugu yangu wanataka kumwibia?
Maana mchumba mwenyewe yuko Senegal!
Namuwakilisha!

Nduguyo kisha ibiwa.
 
mmmmh mbona huu mchezo unazaidi ya miaka kumi Mpwa, umeanza kutumia net lini wewe? hakuna kitu cha namna hio Ndugu yangu
 
Hivi bado kuna watu wajinga ndio waliwao tena, na hiyo ajipeleke wakamwoe yeye, ndipo atatii adabu.
 
ulivoandika hiyo thread nikawa na shauku ya kujua..hahahahahahahaaaa..nimekumbana nao hao matapeli,utaskia wazazi wangu wameuawa mi yatima,kaacha mamilion$ kadhaa..harufu ya utapeli
 
tehete tehete vya bure vitamu japo vinaishia na NINGEJUA!!!!!!!!NISINGEEE!!!!!! Kama kweli unampenda rafiki yako mwambie aache na kama anataman amwambie amtumie kwa western au akafungue account mpya........BORA AKATAFUTA HELA AKAENDA KUCHUKUA BIKIRA KWA MSWATI HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
 
akituma hiyo account # jamaa wana uwezo wa kuchota hela huko walipo. muambie ndugu yako aache kupenda dezo jamani, sasa uchumba na kutumiana hela vinahusianaje?isee, nisije nikasema neno baya.
Hii hunisumbua sana! Ukijua a/c ya mtu inahamishwa vipi?
Hizo a/c za NGo's na zinginezo itakuaje?
 
Bila shaka Alipotumiwa hiyo email alitoka hapo amekenua mimeno,kwa furaha akidhani amepata zali la mentali,wabongo kwa kupenda vya mteremko hawajambo.
 
Yaani bado kuna mtu na akili zake timamu anaweza kuingizwa mkenge huu?
cynthia
Media: 0
Subscribers: 0
27th November 2010
Hello [ Reply ]
Hi i am Cynthia



How are you? i hope all is well with you, i hope you may not know me, and i don't know who you are, My Name is Miss Cynthia Martines, i am just broswing now i come across your profile it seams like some thing touches me in my spirit that you are the type of person i am looking for,



and l want you to send an email to my email address so l can give you my picture and for you to know whom l am.Here is my email address (cynthiamartines10@yahoo.com)



I believe we can move from here! I am waiting for your mail to my email address above.

Miss Cynthia Martines (Remeber the distance or colour does not matter but love and concern matters alot in life)

( cynthiamartines10 at yahoo dot com )



Yours Faithfully



Cynthia

From:
Date:
Subject:
Body:
 
Hizo zipo mpaka kwenye social network zetu wabongo....unaandikiwa kwa kiswahili.....zipo sana hizo.
 
Thats a similar story i heard a year back a tz lady hookd up herself with a south african guy through internet they dated for like 6months nae akamuomba a/c # amuingizie hela so that the lady aweze kwenda s.afrca wakutane, alipotuma her info's ndio ikatokaa, the guy alikomba everythng! Ndugu yako is just another victim!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom