Ndugu yangu umasikini anauaga!

we hakuna cha bure ulimwengu huu wa sasa...usanii mwingi. mie nna mail sita za aina hiyohiv hawa watu vip mbona hata tecnic zao hazibadiliki ndo zile zile tu dail!
 
Maalim Jumar tupe feedback, imeendeleaje? rafiki yako kachomoa au "kauaga umaskini"???
 
ndugu yangu nilimwambia haya niliodokezwa humu sasa sijajua kama atayafanya kwa siri au atafuta hizi dokezo nilizoziona humu kwenu grit thinkaz!
Nilimwambia azifowadi hizo e mail zake kwangu naona hajazituma!.
Ngoja nimtafute tena nijue mambo yakoje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom