The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 806
- 1,658
Jamaa we huoni kama huyo anamtongoza mkeo!????
Shutuka anamtaftisha mada za ngono ili amle amini nakwmabiaHuyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu.
Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote.
Wadau huyu ana nidhamu gani au nyie mmeelewa nini?
Yaani Mwanaume ukisikiliza maneno ya Mkeo, Utafukuza kila ndugu yako. Kwa ufupi mke wako hampendi ndugu yako. Mtu mnapiga stori za mapenzi ashindwe kukuambia wewe akamwambie mwanamke? si kweli. Ishi na Mke wako kwa akiliHuyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu.
Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote.
Wadau huyu ana nidhamu gani au nyie mmeelewa nini?
May be Wife anafikisha ujumbe indirect, naona kalipresent haraka mno.DUNIA siku hizi imejaa wapumbavu kweli, Ndugu anataka kula shimo la Ndugu Yake.
Unauhakika lkn ? Isije kua Mke wako keshaona Bajeti imeongezeka ??.
CowardiceHizi stori za kiffaller msilete humu. Utafugaje mpumbavu kama huyo?
Huyo nampa masaa awe ameondoka. Tatizo la wabongo ni unafiki unashindwa kumchana mtu unaleta jf...faller wewe