Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

Tafuta kwanza evidence kuhusu hilo kabla ya kufanya uamuzi wowote, kama ana tabia hiyo kuna siku nyingine atarudia, hata kama si maneno hayo ataongea mengine yanayoendana, ikiwezekana mwambie Mkeo amrekodi, ukijiridhisha kuwa ni kweli mchane alafu mtimue hapo kwako.
 
Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mm hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nkiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshuglikia mke wake muda wote. Wadau huyu ana nidhamu ghani au nyie mmeelewa nini
Mfukuze
 
fukuza kenge huyo...
 
Fukuza hapo nyumbani, ndugu anakueletea usiku
 
Mambo ya kufatana fatana na ndugu ni ya nini tena karne hii?? Tena ndugu mtu mzima anakuja kufanyaje kwako?
 
Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mm hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nkiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshuglikia mke wake muda wote. Wadau huyu ana nidhamu ghani au nyie mmeelewa nini
Je we ni kapuku?... Ukiona mtu anakudharau namna hyo bas kakuona we ni kapuku... Raise ua game kaka
 
Hizi stori za kiffaller msilete humu.
Utafugaje mpumbavu kama huyo?

Huyo nampa masaa awe ameondoka.
Tatizo la wabongo ni unafiki unashindwa kumchana mtu unaleta jf...faller wewe
Ungekuwa uzi wa kifala mods wangeufuta na usingeusoma.

Heshimu nyuzi za watu bwashee ukikosa cha kuchangia kaa kimya fala wewe.
 
Back
Top Bottom