Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

Kuna mawili

1.Ndugu yako anataka kuwagombanisha

2.Mkeo anataka kuwagombanisha.

Siku zote maneno yanayotoka kwa mwanamke lazima uyapime katika angle mbili

Hiyo ni principle muhimu sana kwenye kila kutabu chetu cha ishini nao kwa akili.

Mwanamke ataongea kauli either kujenga au kuharibu.Mwanamke ajawahi kuwa neutral katika kauli Tena kuwa makini sana na mkeo Na NEver take any side.

Dadisi kama ukipata ushahidi ndugu yako amesema kweli mda huo huo aondoke yaani asikae hapo ht sekunde 10 baada ya kujua.

Ukijua ni mkeo na interest zake tafuta ujue why kasema hiyo kauli.


Kwani hujawahi kusikia mke wa mtu analazima penzi hlf akikataliwa anasema ukikataa nasema ulikuwa unataka kunibaka!!!!
 
Wanasema hekima na Busara katika maisha ya mwanaadamu ni sawa na msingi wa biashara ama hakimu na mahakama.

Mkuu una mke tumia busara na hekima zako usigombane na ndugu kisa mke kwani tunaishi kwakutegemeana ndugu, jamaa na rafiki lichunguze hilo jambo km linaukweli tafuta njia nzuri ya kumuondoa ndugu yako bila ya kuathiri uhusiano wenu.
 
Nitoe ushauri kwa vijana wote
Lazima kuwe na mipaka hata ya kuambiwa na mke wako au girlfriend pia

Unamtahadharisha kabisa kabisa mwanamke kuwa asije akathubutu kukuambia fulani kamtongoza au anamtaka
Kwani atatongozwa na wengi na anabidi awe na ujasiri mwenyewe wa kujitetea bila kumwambia mume/ rafiki

Maana kama mwanamke atakuwa na tabia za kukuambia kila kitu ina maana utakosana na kila binadamu?

Hapo wewe ndio dhaifu kwanini akuambie hayo?
Kama yeye kashindwa kujitetea kwa kuambiwa upuuzi huo Basi inabidi umfundishe kuwa sio kila kitu ni la kumuambia mume
Naona hajafundwa huyo mfundishe na mkanye asije kukuambia tena bali ajitetee kwa nguvu zote

Ushauri mwingine Mwambie unasafari ya dharura na ukamkatie ticket kama ana gari akawashe aondoke
 
Hii inatokana na kutokuwa na mipaka baina ya shemej na mkeo, pangekuwa na mipaka na kuheshimiana baina yao yasngefka hapo.

Na pia kwann askae kwake mtu una mke na familia kwann askae kwake, na kama kaja mjini mara moja s angejipanga alale hata guest kuliko kuleta mambo ya kipuuzi kwny familia ya mwngne!
 
Bro usije fanya mamuzi yoyote chunguza kwanza au mwambie mkeo akurecodie maneno yke wanawake wengine awapend ndugu wa upande w kuume atakuchonganish n ndugu zko bro
 
Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu.

Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote.

Wadau huyu ana nidhamu gani au nyie mmeelewa nini?
Shutuka anamtaftisha mada za ngono ili amle amini nakwmabia
 
Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu.

Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote.

Wadau huyu ana nidhamu gani au nyie mmeelewa nini?
Yaani Mwanaume ukisikiliza maneno ya Mkeo, Utafukuza kila ndugu yako. Kwa ufupi mke wako hampendi ndugu yako. Mtu mnapiga stori za mapenzi ashindwe kukuambia wewe akamwambie mwanamke? si kweli. Ishi na Mke wako kwa akili
 
Hizi stori za kiffaller msilete humu. Utafugaje mpumbavu kama huyo?

Huyo nampa masaa awe ameondoka. Tatizo la wabongo ni unafiki unashindwa kumchana mtu unaleta jf...faller wewe
Cowardice
 
Kaa na mke wako, muulize vizuri, mara nyingi wanawake hutengeneza mazingira ya kugombana na ndugu zako. Kisha kaa na mdogo wako muongee kiume utapata jibu sahihi.
 
Ndio maana munaambiwa wageni wanaokuja majumbani wawe na sababu za msingi na sio kujazana tu ndani ya nyumba mwishowe ndo huo kuanza kuongea na mkeo hata ambavyo havipaswi kuongelewa.

Muondoshe hafai huyo.
 
Back
Top Bottom