Godman
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 380
- 554
Tafuta kwanza evidence kuhusu hilo kabla ya kufanya uamuzi wowote, kama ana tabia hiyo kuna siku nyingine atarudia, hata kama si maneno hayo ataongea mengine yanayoendana, ikiwezekana mwambie Mkeo amrekodi, ukijiridhisha kuwa ni kweli mchane alafu mtimue hapo kwako.