Karibu ujipatie ng'ombe bora wa maziwa aina ya aryshire, Holstein freisian na jersey pamoja cross breeding zake RUNGWE MBEYA

munroe

Senior Member
Apr 3, 2019
101
68
Ndugu wadau wafugaji tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina mbalimbali wenye uwezo wa kutoa maziwa hadi lita 30 kwa siku.

Ipo Mitamba yenye mimba na isio na mimba aina zote
Wapo ndama bora Aina zote
Wapo madume bora na wanaopanda kwa uhakika
Wanaokamuliwa na wenye mimba kubwa
Ng'ombe wetu wanastahimili mazingira tofauti katika mikoa mbali mbali yenye joto na baridi
Bei ni nafuu saana
Mafunzo na formula za ulishaji utapewa ili kuongeza uzalishaji
Usafiri ni uhakika mikoa yote
Karibu shambani.
Wasiliana nasi kwa no. 0756416149
Unaweza tuchek WhatsApp kwa picha ni video.

IMG_20230430_143830_738.jpg
IMG_20230430_134123_823.jpg
IMG_20230430_143851_358.jpg
IMG_20230430_145807_162.jpg
IMG_20230430_143856_370.jpg
 
Ndugu wadau wafugaji tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina mbalimbali wenye uwezo wa kutoa maziwa hadi lita 30 kwa siku.

Ipo Mitamba yenye mimba na isio na mimba aina zote
Wapo ndama bora Aina zote
Wapo madume bora na wanaopanda kwa uhakika
Wanaokamuliwa na wenye mimba kubwa
Ng'ombe wetu wanastahimili mazingira tofauti katika mikoa mbali mbali yenye joto na baridi
Bei ni nafuu saana
Mafunzo na formula za ulishaji utapewa ili kuongeza uzalishaji
Usafiri ni uhakika mikoa yote
Karibu shambani.
Wasiliana nasi kwa no. 0756416149
Unaweza tuchek WhatsApp kwa picha ni video.

View attachment 2608030View attachment 2608031View attachment 2608032View attachment 2608033View attachment 2608035
bei zinaanzia sh ngapi
 
Bei kiasi gani
Wanatoa maziwa kiasi gani Kwa siku..
Kusafirisha kiasi gani Mbeya Hadi Dar..?
Wapo wanaotoa hadi lita 30 kwa siku
Bei zina range kuanzia 1.5 to 4 mln
Usafiri 200,000 kwa ng'ombe ni pamoja na vibali
 
Hivi ng'ombe huwa wanatoa maziwa sana katika mazingira gani, ya baridi au ya joto?!

Hivi mfano ukifugia Dar na ukifugia Njombe ni wapi ngombe wanatoa maziwa sana?!
 
Hivi ng'ombe huwa wanatoa maziwa sana katika mazingira gani, ya baridi au ya joto?!

Hivi mfano ukifugia Dar na ukifugia Njombe ni wapi ngombe wanatoa maziwa sana?!
Inategemea na unavyowalisha
 
Hivi ng'ombe huwa wanatoa maziwa sana katika mazingira gani, ya baridi au ya joto?!

Hivi mfano ukifugia Dar na ukifugia Njombe ni wapi ngombe wanatoa maziwa sana?!
Ng'ombe mwenye asili ya maziwa haathiriwi sana na hari ya hewa
Japo mazingira ya baridi ni supportive kwa ng'ombe wa kisasa
 
Ng'ombe wazuri kwa uzalishaji wa maziwa wanaostahimili mazingira tofauti bado wapo
 
Usiokwazike na wenye wivu jipe moyo wenye uhitaji watakuja, simbilisi sikajaga bado zipo hata kwetu mbozi na kagera wapo, tugambye sigala kumanya vintu za kubuza
 
Usiokwazike na wenye wivu jipe moyo wenye uhitaji watakuja, simbilisi sikajaga bado zipo hata kwetu mbozi na kagera wapo, tugambye sigala kumanya vintu za kubuza
Nikweli mkuu kuna wanaopenda kuwa against na kilakitu na anafarijika kufanya ivo
 
Mimi nipo kondoa nampataje, wale wenye madoa meupe na mekundu unao, mtamba mwenye mimba sh. Ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom