Maadui hao watatu bado mmekwama na bado mnataka maadui wengine? Uadui maana yake nini?Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Ufisadi umeletwa na nani? Sijuia akili yako inafikilia nini, maana bila mtu hakuna chochote kinachofanyika. Sasa nikuambie kitu, alitangazwa Mandera kuwa gaidi, unapinga nini kutangazwa Ngugai kuwa adui namba moja wa Tanzania.Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Mahakama ya Mafisadi ipo njiani soon tena naskia kuna Mwanasiasa Maarufu anatarajiwa kukata utepe kutokana na Ufisadi wake uliotamalaki.Hivi ile mahakama ipo???
Mamlaka gani inayotangaza?Ufisadi umeletwa na nani? Sijuia akili yako inafikilia nini, maana bila mtu hakuna chochote kinachofanyika. Sasa nikuambie kitu, alitangazwa Mandera kuwa gaidi, unapinga nini kutangazwa Ngugai kuwa adui namba moja wa Tanzania.
Acha mbwembwe usilete mahaba ya nyau, hayo mambo yote yamefanywa na ccm leo mnataka kuuhadaa umma wa watanzania. Subilini muone, jua halitazama mambo yote yatakuwa hadharani.Mahakama ya Mafisadi ipo njiani soon tena naskia kuna Mwanasiasa Maarufu anatarajiwa kukata utepe kutokana na Ufisadi wake uliotamalaki.
Lakini nakukumbusha usiwe unasahau kijinga hivyo. Hiyo ahadi ilitolewa 2015 na hadi sasa ni miaka miwili ya utekelezaji wa ahadi mbalimbali, usiwe na pupa...wewe tuliza mshono usije kuutonesha bado mapema.
akili nyingine buana, kwani lowasa mnavyomuandana sio mtu individual?Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
Vipi zoezi lenu la kususia vodacom?Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Ulipo Tupogo & Friends of Lowassa.akili nyingine buana, kwani lowasa mnavyomuandana sio mtu individual?
Jazba Jazba tu, angekuwa hakimu angesema Wachinjwe. Angekuwa ana wadhifa wa juu nchi hii angewaweka kizuizini eti kadharauliwa! Spika Mjeshi.huyu mtu aliwachochea walinzi wamfanyie fujo mnyika,ana jazba na hafai kuwa kwenye kiti
Aanze Lissu kwanza kwakuwatetea wezi wa madini yetuMtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Umewaona tena mahakamani ?Vipi zoezi lenu la kususia vodacom?
Kwa kosa gani ?MTANGAZE KWANZA MAMVIII HAPO NTAWAUNGA MKONO