Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !

Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni

View attachment 1920289
wao kwanini wanajiita waheshimiwa?
 
Na Daktari , engineer, na cpa unawazungumziaje? Wanaitwa hivyo ili kukidhi matakwa ya professions zao na kujitofautisha na vihiyo, kumbuka hata hii ya learned brother ni heshima tu, ila mchakato wake ni mrefu, kwa upande mwingine hivyo basi na wabunge nap wasiitwe “ waheshimiwa”... ni mjadara wa kijinga sana aliouanzisha, sijui kama hili nalo ni moja ya jukumu alilotumwa na wapiga wake...
Kwanini wao wanajiita waheshimiwa? wana nini so special?
 
Mkuu inferiority complex inakusumbua sana ha ha ha ha....

Tajiri unashinda mitandaoni kumtetea mh.Mbowe ha ha ha ha nikija kulala hotelini kwako nitakuja kupiga stori nawe.....
Unawezaje kupiga story na mtu kwenye infirioty complex, na tena anayemtetea Mbowe mitandaoni?
 
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !

Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni

View attachment 1920289
Mgonjwa ghali zaidi Duniani Naona bado hajapona.Hivi alitibiwa kwa bilioni ngapi vile
 
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani!

Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni

View attachment 1920289
Hizi episodes tamu sana
JamiiForums922310845.gif

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Mh. Spika Ndugai yuko sahihi sana

Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga

Mathalani hivi ni nani awezaye kuwa WAKILI bila ya kusoma?

Kwanini tutangulize "wakili msomi"?

Namuunga mkono Spika wetu Mtunduizi

MWENYEZI MUNGU AMBARIKI NA KUMLINDA MH. SPIKA JOB NDUGAI, AMEEN AMEEN

#NchiKwanza
#SiempreJMT

Kuna na hii hunishangaza mtu eti anajiita nfano CPA Jumbe, Engineer Jumbe huku hata kutemgeneza mtaro hajui na hivo vyeo huwa vya proud and arrogance wakati ku deliver vitu ni sifuri. Kwa hili namuunga mkono ndugai
 
unaweza kuthibitisha kwanza kama mimi ni mwanamke , pili kama ni mke wa mbunge wa zamani unayemjua ?

Zamani Jf hii uzushi ulikuwa unakupa ban , sasa hivi sijui kimetokea nini , ila nakufunza kwamba humu jf unachotakiwa kuhangaika nacho ni hoja tu , usijihangaishe na mtoa hoja iwe kwa kufuata mkumbo au kujituma mwenyewe , utadhalilika vibaya sana na utajua hujui , be careful
Hoja wazitoe wapi hao.Hawana kitu chochote kichwani ndo maana wanakimbilia kuattack mtu na mambo ya kijinga.
 
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani!

Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni

View attachment 1920289
Kama vile nisivyoelewa kwa nini wabunge wanatulazimisha tuwaite waheshimiwa wakati kuna wengi tu wasiostahili heshima! Heshima hailazimishwi.

Amandla....
 
unaweza kuthibitisha kwanza kama mimi ni mwanamke , pili kama ni mke wa mbunge wa zamani unayemjua ?

Zamani Jf hii uzushi ulikuwa unakupa ban , sasa hivi sijui kimetokea nini , ila nakufunza kwamba humu jf unachotakiwa kuhangaika nacho ni hoja tu , usijihangaishe na mtoa hoja iwe kwa kufuata mkumbo au kujituma mwenyewe , utadhalilika vibaya sana na utajua hujui , be careful
Pole sana. Ukweli ni kuwa JF imebadilika sana. Sasa hivi imekuwa kawaida watu kutumia lugha za matusi ya nguoni. Nadhani imekaa kibiashara zaidi ya wakati wa awali.

Amandla...
 
Kwani mkude wameshamaliza kumpima? Inabidi iwe zamu ya vipimo vya muheshimiwa SUPIKA
 
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani!

Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni

View attachment 1920289
Tangu juzi nimesema humu wasipomwahisha murembe kuna siku atavua nguo mbele yao ndii watajua kuwa zinazidi kupotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila profession inapenda kujitofautisha na wengine. Ndio maana Baba wa Taifa alikuwa anajivunia sana ualimu wake na mpaka mwisho alikuwa anatambulika kama Mwalimu Nyerere.

Hivyo hivyo kwa fani nyingine. Mara nyingi hizi sifa sio kwa sababu ya shule tu bali uzoefu na kukubalika baada ya kupimwa na wanataaluma wenzako. Sio kila mtu aliyesomea uhandisi ana haki ya kujiita Mhandisi fulani. Ni wale tuu waliopitishwa na bodi yao ndio wenye haki hiyo.

Hivyo hivyo sidhani kama watu wote waliosoma sheria wana haki ya kuitwa advocates au mawakili wasomi. Huyu muanglikani haoni shida kumuita Baba padri wake ambae ana umri wa mtoto wake!

Hii ni "much ado about nothing". Wamekosa kitu cha kujadili maana wanajiona kuwa ni sehemu ya serikali na kazi yao ni kutetea serikali kwa nguvu zao zote.

Amandla...
 
Richa ya kwamba huyu jamaa huwa namuona chenga,ila ana hoja nzito.
Kuna umuhimu gani wa kuitwa "msomi"
Wakati wewe tayari ni msomi?hayo matitle si unayo kwenye CV yako?
Kibongo bongo,kuitwa kwa title watu huona ufahari kwa sababu ya low self esteem,mtu kama Mwigulu na PHD yake ya kuunga unga hasemi kitu mpaka aseme Mimi Dokta wa uchumi,wakati kichwa kimejaa ma theory matupu.
Deputy president wa Kenya,William Ruto ni PHD holder,lakini huwezi kusikia akitumia DR Ruto
Hata watu wa nje hawapendi kujikweza na ma title ka huku bongo mara bossi, mara Prof, mara Dr mara engineer, hivo vyote wanavopenda ni watu hawajiamini na wapenda ma pride, iweje watu wa nje iwe nadra hata kufahanu title zao ingawa wamefanya makubwa
 
Back
Top Bottom