Kiukweli ndoto namba 3 kwangu imekuwa kiwazo katika maendeleo yangu,mimi mimemaliza degree yangu ila mara nyingi nikiota nafanya mtihani wa kidato cha nne na sijui lolote lile au kuna mtihani unakuja wasomo fulani alafu sijawahi kusoma hilo somo au kuingia katika kipindi cha hilo somo basi haitochukua miezi kadhaa nitafukuzwa kazi hii imetokea mara mbili, mara yakwanza niliota then baada ya miezi miwili nikafukuzwa kazi kwakosa ambalo silo langu kabisa ila sikuelewa au kuunganisha ndoto na matokeo ya kufukuzwa kazi, mara yapili niliota na nikafukuzwa kazi ndipo hapo nilipoelewa ile maana ya ndoto ila kwamara ya pili nilianza kujiandaa mapema kwani nilianza kuhisi uhusiano wandoto na maisha yangu ya kazi, hivyo naomba mtu ambaye anaweza kujua njia ya kuicontrol ndoto ili iweze kuibadilisha kwenda kwenye matakwa yangu
Mimi kuna siku niliota nipo katika shamba kubwa lililozingirwa na sengenge(uzio wa waya) likiwa na walinzi wenye silaha,upande wa pili kulikua na soko watu walikua wakiuza na kununua ghafla ilitokea kitu kama kunyakuliwa watu kutoweka ghafla na kuacha mavazi yao. badhi ya watu walipotea na wengine wakabakia.
kisha ndege za kivita zikapita zikilipua watu walihangaika kujitetea na kuokoa maisha yao.wengi waliuwawa mimi nililala chini na kutembea na tumbo na kupita katika uzio kuelekea walipokua wale walinzi waliokua wakishambulia kwa silaha watu nilipotoka nilikimbilia nami ghafla nikapotea nakujikuta sehemu yenye amani,watu wakiwa na furaha sana.
ndoto ya pili.
Niliota nipo na mwanamke mjamzito nampeleka Hospital tukiwa tunatembea niligeuka nyuma na kuona jitu linalotisha likitufata nililishinda jitu ilo kwa sala niliponyoosha mkono likaungua na moto,kisha ikanyanyuka ngome ya ajabu kubwa pembeni ya njia tuliyokua tunapita yakawa yapo mengine nilinyoosha mkono zikashuka radi kubwa yenye miali ya moto mbele ikiwa kama jiwe kubwa liwakalo moto na miale ya Shoti ya umeme,yakashuka na kupiga ile ngome na kuivunja vunja yote hadi ikawa mavumbi wala hapakua na jiwe lililobaki. nikashtuka katika ndoto nilihisi kama mtu anaongea nami akatasema utavunja ngome zote. kisha pakawa kimya.
Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao.
Nimeona ni jambo jema kukusanya mada ambazo zimeshawahi kujadiliwa kwa kina humu JF kuhusiana na Ndoto na Tafsiri zake, ili kuweka urahisi kwa wale ambao wanataka kujua tafsiri ya ndoto zao walizoota, pasi na kuwa na haja ya kuanzisha uzi mpya kuulizia kitu cha aina moja kila uchwao..
Zifuatazo ni mada zenye maswali na majibu kuhusu ndoto mbalimbali ambazo zimeshawahi kujadiliwa humu JF;
leo nawapa tafsiri ya ndoto hii ya kupaa au kuruka na kwenda hewani
Ndoto hii huotwa sana na watu wenye ustaarabu au wapole na wenye dalili za mafanikio au wenye mipango mikubwa inayokwama
Kuota unapaa kama wewe ni mtegemeaji kazi za vibarua na kazi za kuitwa ukiiota mara moja ndoto hii utaitwa kazini au kibaruani
Kuota ndoto hii mara moja ni dalili ya kufanikiwa
Kuiota mara kwa mara ni dalili ya kusumbuliwa na jini subiani mbaya na huyu huwa katika kundi la jini mahabba na hapa ndo utaona mambo hayaendi yamekwama kila ufanyalo huishia kupata hasara
Ndoto hii pia huiota mtu mwenye kuumwa mara kwa mara na hasa wale wanaoumwa sana vichwa miguu na mikono
Ndoto hii unapoiota unakimbizwa kisha ukapaa ni dalili ya kumshinda mpinzani wako au adui yako
Kadhalika kuiota unakimbizwa na mbwa au simba ni dalili ya uadui lakini utaushinda uadui huu

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.