Nini tafsiri ya ndoto hizi . Messi vs Diamond

Nini tafsiri ya ndoto hizi . Messi vs Diamond

life is time

New Member
Joined
Sep 2, 2026
Posts
2
Reaction score
2
Wakati wa michuano ya kombe la dunia niliota ndoto nikiwa navuta bangi na lionel messi, niliiwaza sana ndoto hii baada ya kuamka lakini sikuweza kupata maana yake .

Na kuna siku pia niliota ndoto kuwa diamond platnumz alikuja geto kwangu kunikopa 5000. Je hizi ndoto tafsiri yake ni nini au ni utabiri wa kuja kuwa mtu mkubwa sana hapo mbeleni.

Kwa wale wajuzi wa ndoto hebu nifumbulieni
 
Back
Top Bottom