Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 875
- 1,259
Nimecheka kwasauti sana hapa ila watu hizi akili mnazitoa wapiYesu mwenyewe kakimbia ndoa ndo aje atusaidie sie tulio thubutu, acha masihara mkuu.......
Nimecheka kwasauti sana hapa ila watu hizi akili mnazitoa wapiYesu mwenyewe kakimbia ndoa ndo aje atusaidie sie tulio thubutu, acha masihara mkuu.......
Hakuna namna kaka.. tutavumilia tu.You said well bro. Humo humo tunaishi na tutafika,No way
Mamujee BabyCare 😍,Msalimie mkeo.
Karibu sana maisha ni uvumilivu tu.Soon nami naingizana humo tubanane
nenda nae mdogo mdogo, mambo mazuri hayahitaji harakaHakuna wakunijutisha hapo 😊
Kumbe hadi baby care wahuni mnatumiaga🤣Mamujee BabyCare 😍,
Mimi sipo sitaki kuwa mtu kati 😅Wee muache ajichanganye 😂😂😂
Kasharunga ndio wapi tena huko bruh 😄Laba-inabana labadinu Ime..... Hahahaha Mzee wa Kasharunga umejua kunifurahisha.
Umesema kweli, wengi wanaingia kwenye hio taasisi bila mwanzilishi ambaye ni Mungu. Maandalizi mengi ni ya kimwili tu, kiroho ni zero maana wengi hawajui kuwa ndoa ni spiritual na ni mpango kamili wa Mungu kwa kila mwanadamu. Mapambano mengi kwenye hizo taasisi ni kazi za giza lengo ni kujaribu kung'oa mipango mizuri Mungu aliyowapangia sasa watu bila kutafuta chanzo wanabwaga manyanga too early. Mungu ndiye mwenye majibu ya kila changamoto za wanadamu.Kwakweli !
Though mi Nina mtizamo chanyq.
Nimegundua wengi waliokosea kwenye hili eneo wanataka kuaminisha watu kuwa ndoa ni mbaya,kitu ambacho sio sawa
Kuna watu hawajui shida kwenye ndoa zao!
Lkn pia changamoto kawaida watu mmelelewa ,mmezaliwa tofauti unategemea nn?
Mungu kwanza,upendo, uvumilivu...basi
Ushauri wa Aina hii umewaponza Maburungutu ya VijanaKwa wanaume ,....Usioe km hujakomaa kiuchumi, kimwili na kiroho....
Ndoa sio agano la wavulana
Ndoa ni agano ambalo wanafanya wanaume kamili waliopevuka...
Ndoa haiendeshwi na mwanamke....mwanaume ndio dereva wa ndoa, ukishindwa kuiendesha jilaumu mwenyewe, usihamishe lawama.
Tatizo wavulana wengi wanaparamia kuingia kwenye hii taasisi bila kujipanga na ndio wanaokuja humu majukwaani na slogan "kataa ndoa" ... kisa yeye imemshinda.
Ushauri,
Oa/olewa na anayekupenda na mwenye hofu ya Mungu.
Km wewe mwenyewe huna hofu ya Mungu usioe au usiolewe, yatakushinda...hiyo ni taasisi ya ki-Mungu, soul mbili zilizopata malezi tofauti haziunganishwi kienyeji.
We si umetoka kuoa Mrangi juzi tu hapo.
Hamisi Eeeh kuwa serious bhasi mwanetu.

Exactly.Kwa wanaume ,....Usioe km hujakomaa kiuchumi, kimwili na kiroho....
Ndoa sio agano la wavulana
Ndoa ni agano ambalo wanafanya wanaume kamili waliopevuka...
Ndoa haiendeshwi na mwanamke....mwanaume ndio dereva wa ndoa, ukishindwa kuiendesha jilaumu mwenyewe, usihamishe lawama.
Tatizo wavulana wengi wanaparamia kuingia kwenye hii taasisi bila kujipanga na ndio wanaokuja humu majukwaani na slogan "kataa ndoa" ... kisa yeye imemshinda.
Ushauri,
Oa/olewa na anayekupenda na mwenye hofu ya Mungu.
Km wewe mwenyewe huna hofu ya Mungu usioe au usiolewe, yatakushinda...hiyo ni taasisi ya ki-Mungu, soul mbili zilizopata malezi tofauti haziunganishwi kienyeji.
Tuliokataa ndoa tuko pale tunawazoom tu wanavyopuyangasafi sana mpaka mseme
endeleeni kuoa
NAKAZIANAKAZIA
NDOA NI UDUWANZI
NDOA NI UPUMBAVU
KATAA NDOA
Eti Taasisi ya Kinafiki 😅Kiukweli tu unachoshaa jamani ugali na dagaa januari to December😄😄Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaaa yaan basi tuu...halafu binadamu tumeumbwaa kuchoka na kukinai...vinachoshaaaa
Inakuwa inachosha kwa sababu ya kukosa ubunifu mkuu, kama kweli unataka kuifurahia ndoa kuna namna nyingi za kufanya. Pesa iwepo ili ndoa isiwe karaha, mazingira yabadilishwe ili kuleta ladha mpya nk.Kiukweli tu unachoshaa jamani ugali na dagaa januari to December😄😄Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaaa yaan basi tuu...halafu binadamu tumeumbwaa kuchoka na kukinai...vinachoshaaaa
Hapana kwa kweli...ngoja niwaachie wengineHutaki nini.
Kukata tamaa dhambi eti😂
NakaziaYesu mwenyewe kakimbia ndoa ndo aje atusaidie sie tulio thubutu, acha masihara mkuu.......