...hili swala litazamwe upya ...Yesu mwenyewe kakimbia ndoa ndo aje atusaidie sie tulio thubutu, acha masihara mkuu.......Suluhisho la ndoa ni Yesu tu!
ni kweliHaswa za kizazi hiki
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?
Wamechafukwa hawatamani kuonana tena...ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake?
Wanapigana wengine wanauana
Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk
Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia.
Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.
Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.
UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!
Sio kua hasi kutegemea ndoa kua suluhisho ya umasikini wao ulio watafuna siku zote kwao, pia nawanaumme hawako tayari kutumikishwa kwa ajili ya ngono tu.......ndo maana ndoa kushine.Utafiti wangu umegundua wanawake wengi ambao hamjaolewa mna mtazamo hasi kuhusu ndoa.
Subhanallah!Wao wanasemaje kuhusu hilo?🤔Ukiona mtoto wa kiume hataki kuoa
Kuna hati hati anataka kuolewa
Kuishi tu alone kuna changamoto nyingi, yaani alone pale ghetto kwako kuna changamoto kibao, kuna wakati hata hutamani kurudi ghetto, japo upo mwenyewe...
...iwe ndoa au single, bado maisha yana changamoto nyingi sana.
Naunga mkono hoja,bila utemi utaona kila rangi ya mwanamkeHuu mtaa niliopo kuna wanawake watatu wamekimbia ndoa zao kwa kufumaniwa na mmoja kamwacha mume wake mchungaji kaende kujiweka kwa dalali wa mashamba..
Kumpenda mtu kupitiliza ni tatizo na limewaletea wanaume wengi majanga. Kuna waliorukwa na akili, wengine jela na mbaya zaidi ule upenda umewapeleka kaburini.
Ukiamua kuoa hakikisha unaishi kitemi , upendo ubaki kwa kile ulichovuna (watoto).
hakuna cha ajabu hapo,kwani huu ni muunganiko wa watu wazima 2 wenye historia tofauti na makuzi tofautiHaswa za kizazi hiki.
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?
Wamechafukwa hawatamani kuonana tena, ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake? Wanapigana wengine wanauana.
Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk
Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia. Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.
Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.
UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!
🤣🤣🤣🤣Ndoa ni jambo la kheri na changamoto ndio zinazofanya tunaishi japo sikuhiz ukiingia ndoan ni kama umeenda jela
Kuna mtu alsemaga ukiingia ndoani miaka hii hakikisha unajifanya akili zako sio timamu 😃😃
Kwa wachungaji wanaochakata wake zetu?Suluhisho la ndoa ni Yesu tu!
😃😃Ukijifanya wewe ndo unaakili logic za kutosha Yani itakushinda mapema sana😃😃😃🤣🤣🤣🤣