Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,360
- 10,383
- Thread starter
- #181
Nlifumaniwa dada nkapigwa ndoa ya mkeka...Abby umeolewa lini bila mi dada Yako kujua?


Kidding
Nlifumaniwa dada nkapigwa ndoa ya mkeka...Abby umeolewa lini bila mi dada Yako kujua?


Ukipewa certificate bila kufaulu mitihani kwanza uwe na uhakika huko kwenye hiyo kazi kuna kazi. Ndoa ni kwa ajili ya watu wazima, wenye akili tu sio fashion ya kupendezesha kila mtu.Haswa za kizazi hiki.
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?
Wamechafukwa hawatamani kuonana tena, ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake? Wanapigana wengine wanauana.
Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk
Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia. Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.
Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.
UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!
NDOA ni jambo la kheri.NAKAZIA
NDOA NI UDUWANZI
NDOA NI UPUMBAVU
KATAA NDOA
Hakuna raha yoyote kutafuta papa kwa tochi, yaani utoke huko mara unakuja paaap simba wanacheza, hakuna raha, mnasema tu lakini hakuna rahaaaaHamna raha kama kuipandia bus bana 🤣🤣🤣
Single tunaEnjoy sana
Nyie kuenjoy mkiwa mbele za watu.. mkirudi ndani mnanuniana
Umeeleza vema,suluhisho ni Yesu, huyo mchungaji naye ana matatizo yake, wewe mwamini Yesu na umpe maisha yako!
Aaah wapi, hakuna raha kufata papa, nasema tena hakuna raha yoyote kufata papa.😂😂😂😂
Unaifuata huku una shauku nayo, hapo moto wake sio wa nchi hii. Huku kuna yule ana shauku nayo na ipo hapo hapo anaiona na ananyimwa.
SafiUkahaba unazidi kwa kuwa mababa wanawala mabinti zao.
Bibilia Walawi 19:29 Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu.
🤣🤣🤣🤣Ningekuja Sasa hivi na pambe yangu nikufanyie singleNlifumaniwa dada nkapigwa ndoa ya mkeka...![]()
![]()
Kidding
Yan bwana wangu afu hajui lini naingia period? Huyo hawezi kuwa bwana angu mimi 😂😂Hakuna raha yoyote kutafuta papa kwa tochi, yaani utoke huko mara unakuja paaap simba wanacheza, hakuna raha, mnasema tu lakini hakuna rahaaaa
Unazeeka vizuri legendAaah wapi, hakuna raha kufata papa, nasema tena hakuna raha yoyote kufata papa.
Mbona kama Unamtokana Papa wa waroman catholic,Waliopo single wanajua mkuu, single 24/7 mwaka mzima? Huo nao ni ulemavu...
Bff Missy Gf jiandae shem hana mpango wa kutulia ghetto moja 😂😂😂Kuishi tu alone kuna changamoto nyingi, yaani alone pale ghetto kwako kuna changamoto kibao, kuna wakati hata hutamani kurudi ghetto, japo upo mwenyewe...
...iwe ndoa au single, bado maisha yana changamoto nyingi sana.
🤣🤣🤣🤣🤣legendUnazeeka vizuri legend
😂😂😂😂Ila Wii wewe kibokoMe nikiingia kwenye ndoa rasmi nafungua na depo la beer, maana uchumba tu bila kulewa siwezi kuamua kesi.
Nakuona kwenye ubora wako!🤣🤣🤣🤣🤣legend
Kweli wii nikilewa ndio napanda kortini hivi hivi sitoboi 😂😂😂😂😂😂😂😂Ila Wii wewe kiboko
Bila kusahau kujifanya hamnazo Ili mambo yaende 😂😂😂Me nikiingia kwenye ndoa rasmi nafungua na depo la beer, maana uchumba tu bila kulewa siwezi kuamua kesi.