Mussa Nzugilwa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 2,391
- 4,960
Sasa mrembo umecoment nini
Sasa mrembo umecoment nini
Najiona mimiBasi tupo tofauti. Binafsi sijawahi kujutia kuishi peke yangu. Yaani ile kufika geto na kuwa mwenyewe huku nahesabu pesa zangu na kuzitunza KUNANIPA RAHA YA AJABU NA UTULIVU WA NAFSI USIO NA KIFANI
Hakuna ushindi wowote, michango ya harusi kila kona, Watu wanafunga ndoa mpaka na yule dada anaitwa biriani sijui.KATAA NDOA
wanaenda kushinda hii ligi
Mwaka 2020 pekee Dar kulikuwa na talaka 200. Na hizo ni zile zimesajiliwa Rita.Hakuna ushindi wowote, michango ya harusi kila kona, Watu wanafunga ndoa mpaka na yule dada anaitwa biriani sijui.
Ndoa zitaendelea kufungwa na zitaendelea kuvunjika na zipo zitakazodumu.
Kataa ndoa wanajaza maji kwenye gunia.
Mkuu umeona ya will smith yaliiomkuta?Ndoa kwa sasa ni changamoto Sana mkuu
Shida ni Wanawake wengi hamjui mahitaji Muhimu ya Mwanaume ni yapi? Ukiona mtu akipata Pesa anakukimbia Jua Ujui mahitaji yake sema wkt yupo zero alikubali kuvumilia maana kupata demu wa kukuelewa ukiwa na migogoro na Pesa ni Ngumu sn.Tatizo wanaume wa sikuhizi ni wabishi sana.
unaanza na mtu 0 mwenzio akipata anawaza mademu hapo ndo tunachoka hata kujaribu
Bado hajajua Maisha vzrBwege anashangaa kula ugal doba dagaa
FIKIRIA BASI MKUU KABLA YA KUJIBU HOJA. Kuna talaka zinazotolewa bila ndoa kufungwa?Mwaka 2020 pekee Dar kulikuwa na talaka 200. Na hizo ni zile zimesajiliwa Rita.
Naomba unipe takwimu ya ndoa zinazofungwa dar Ili tutafute mlinganyo wapi mzani umelalaView attachment 2781960View attachment 2781961
Msichoke jamani, maisha ndio haya hayaTatizo wanaume wa sikuhizi ni wabishi sana.
unaanza na mtu 0 mwenzio akipata anawaza mademu hapo ndo tunachoka hata kujaribu
Ukiwa single huku una mabwana 6 hio sio single tena ni AlbumTutaolewa
Hatujakataa
Ila kuishi single hakuna upweke aisee
Tufutie kauli 🤣🤣
Kubali Ndoa, tumia kibunda chakoNAKAZIA
NDOA NI UDUWANZI
NDOA NI UPUMBAVU
KATAA NDOA
sawa tutajitahidi tukijaaliwaMsichoke jamani, maisha ndio haya haya
Album na remix zake, Kuna watu wana sehemu za uma sio sehemu za siri.Ukiwa single huku una mabwana 6 hio sio single tena ni Album
aah au sioShida ni Wanawake wengi hamjui mahitaji Muhimu ya Mwanaume ni yapi? Ukiona mtu akipata Pesa anakukimbia Jua Ujui mahitaji yake sema wkt yupo zero alikubali kuvumilia maana kupata demu wa kukuelewa ukiwa na migogoro na Pesa ni Ngumu sn.
🤝🤝Yes wanasahau kuwa Kila kitu ni Cha kiroho kabla hakijawa Cha kimwili kwanzaUmesema kweli, wengi wanaingia kwenye hio taasisi bila mwanzilishi ambaye ni Mungu. Maandalizi mengi ni ya kimwili tu, kiroho ni zero maana wengi hawajui kuwa ndoa ni spiritual na ni mpango kamili wa Mungu kwa kila mwanadamu. Mapambano mengi kwenye hizo taasisi ni kazi za giza lengo ni kujaribu kung'oa mipango mizuri Mungu aliyowapangia sasa watu bila kutafuta chanzo wanabwaga manyanga too early. Mungu ndiye mwenye majibu ya kila changamoto za wanadamu.
Aisee nimechekaaaAlbum na remix zake, Kuna watu wana sehemu za uma sio sehemu za siri.
Labda wewe ndio hujui logic ya kataa ndoa Nenda kajifunze!FIKIRIA BASI MKUU KABLA YA KUJIBU HOJA. Kuna talaka zinazotolewa bila ndoa kufungwa?
Mm nimesema ndoa zitaendela kufungwa sio ndoa hazitavunjika. Sasa kuleta takwimu za ndoa nyingi kuvunjika si tayari ushakubali kuwa ndoa nyingi zinafungwa?
KATAA NDOA WANAJAZA MAJI KWENYE GUNIA, WATU WANAOA TU NA MICHANGO KILA SIKU.
Sasa boss, mtu anatembea na watu 10+ huyo sehemu zake zina usiri gani?Aisee nimechekaaa