igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 956
- 1,501
Kwa wanaume ,....Usioe km hujakomaa kiuchumi, kimwili na kiroho....
Ndoa sio agano la wavulana
Ndoa ni agano ambalo wanafanya wanaume kamili waliopevuka...
Ndoa haiendeshwi na mwanamke....mwanaume ndio dereva wa ndoa, ukishindwa kuiendesha jilaumu mwenyewe, usihamishe lawama.
Tatizo wavulana wengi wanaparamia kuingia kwenye hii taasisi bila kujipanga na ndio wanaokuja humu majukwaani na slogan "kataa ndoa" ... kisa yeye imemshinda.
Ushauri,
Oa/olewa na anayekupenda na mwenye hofu ya Mungu.
Km wewe mwenyewe huna hofu ya Mungu usioe au usiolewe, yatakushinda...hiyo ni taasisi ya ki-Mungu, soul mbili zilizopata malezi tofauti haziunganishwi kienyeji.