Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,361
- 91,911
Aisee,now sitaki tena mkuuKwa hiyo jimbo liko wazi sio😂
Aisee,now sitaki tena mkuuKwa hiyo jimbo liko wazi sio😂
ASILIMIA KUBWA NI NYINYI!Naona umegeuka sasa baada ya kusema matatizo chanzo kikuu ni wanawake..ukatuita kenge.
TTCLHizi nyuzi za kuchafua taasisi ya ndoa zinazaminiwa na nani?
Ningekuja Sasa hivi na pambe yangu nikufanyie single

mi mwenzio sijui singo ni nini pamoja na kukulia pwanimarriage is a very important social institution,Marriage is a Scam.
Laba-inabana labadinu Ime..... Hahahaha Mzee wa Kasharunga umejua kunifurahisha.Labadinuuuuu 😆🤣
HakikaNdoa ni jambo la kheri na changamoto ndio zinazofanya tunaishi japo sikuhiz ukiingia ndoan ni kama umeenda jela
Kuna mtu alsemaga ukiingia ndoani miaka hii hakikisha unajifanya akili zako sio timamu 😃😃
Ushaolewa? 🥺🥺🥺Ndoa ni jambo la kheri na changamoto ndio zinazofanya tunaishi japo sikuhiz ukiingia ndoan ni kama umeenda jela
Kuna mtu alsemaga ukiingia ndoani miaka hii hakikisha unajifanya akili zako sio timamu 😃😃
uolewe bana acha kutafuta visingizio😂mi mwenzio sijui singo ni nini pamoja na kukulia pwani
Matatizo ni mengi ndugu.kikubwa busara na uvumilivuTatizo ni watu kutokua tayari kuachana na ma x zao, pili ni watu kukosa upendo wa kweli zaidi ya tamaa za sura nzuri na tako. Uzuri huisha lakini pia ndoa ni sacrifice kwa maana lazima uachane na anasa,starehe za kidunia ili ndoa idumu.
Nakupa tenda ya kuntafutia mme mwema kakanguuolewe bana acha kutafuta visingizio![]()


Oya mwanangu Mmarekani eeh... huyo Aaliyyah Si mwanao na mnabonga fresh tu?! 🥺🥺🥺🤔Hakika
hilo liko nje ya uwezo wangu,Nakupa tenda ya kuntafutia mme mwema kakangu
Maana nakutna na mazito
Tender hiyo sasa... chekacheka ukose zawadi ya Crown, uende ukavimbie chuoni kwenuuolewe bana acha kutafuta visingizio😂
Ndoa ni kati ya matendo ya ajabu kuwahi kuwepo hapa ulimwenguniHaswa za kizazi hiki.
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?
Wamechafukwa hawatamani kuonana tena, ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake? Wanapigana wengine wanauana.
Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk
Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia. Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.
Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.
UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!
Dah sawa ntapambanahilo liko nje ya uwezo wangu,
mtu akikupenda si utajua tu![]()
Kivipi mkuuNdoa ni kati ya matendo ya ajabu kuwahi kuwepo hapa ulimwenguni