Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,323
- 62,205
Maisha mazuri ni ukiwa na familia yenye utulivu.Tulia kwanza kula maisha 😀😀😀
Maisha mazuri ni ukiwa na familia yenye utulivu.Tulia kwanza kula maisha 😀😀😀
NiombeeOa..huwezi jua inaweza kuwa tofauti
Forex ni nyoukow 🤣Kwa hiyo humu ndani mnasema ndoa ni kama Forex trading 😂😂😂, at some point itatukomesha😂
😂 mkutane man to man azimie bureAje taratibu wengine sie wasela majina tu ya kike
Naamini ndoa nzuri zipo pia.....tatizo siku zote mabaya ndo hua yanavuma kuliko mazurii...ndoa nzuri hazivumi ila mbaya ndo zinavumaKomenti tulivu sana.
Unajua hili suala la ndoa watu tunalikompliketisha sana.
Ni kweli ndoa za siku hizi zimekuwa ni delicate sana, na zina misukosuko mingi.
Lakini hii haina maana ndoa ni jambo lisilofaa.
Bwege anashangaa kula ugal doba dagaaHv unaongea nini kumbe Kula Ugal & Dagaa Mwaka mzima ni Mtihani.
Kwetu Sisi wengine hayo ni Maisha yetu ya Kila Siku
Wee muache ajichanganye 😂😂😂😂 mkutane man to man azimie bure
Ukiwa unafanya sana ibada na Mtu uko busy kutimiza malengo yako yani upweke utausikia tuuu maana akili Iko busy unawaza nifanye nn nifanyajefanyaje Yan unawaza maendeleo tu upweke hutaskiaMaisha ya kuwa mwenyewe ni mabaya, yamejaa upweke na usipoangalia unapata sonona. Ona sasa unajifungia mwenyewe ghetto for a week, si ugonjwa tayari huo?
Na matokeo yake ni matatu tu yaani Gerezani, Ulemavu na Kifo.Vita ni vita.
Yes ndo hivyo.Na matokeo yake ni matatu tu yaani Gerezani, Ulemavu na Kifo.
Au uwe huna ela alafu Kuna mipango unataka uifanye huo upweke unatokea wapi....wanasemaga mapenzi yanauma nakataaa...mtu ukikosa ela maumivu yake mapenzi hayaingii ndaniiMaisha ya kuwa mwenyewe ni mabaya, yamejaa upweke na usipoangalia unapata sonona. Ona sasa unajifungia mwenyewe ghetto for a week, si ugonjwa tayari huo?
Ukiwa huna ela upweke huusikiiNa wanaharamu watakuwa wengi sana kwa kufunika...siku wakijaa hao utalipuka Sana ...maajabu sasa unageuziwa kibao kwamba "kumbe mwenzangu Una Mambo moyoni husemi, sipendi kama unaumia si uniambie Mimi ni binadamu nakosea" kumbe anajua afanyalo 😂😂😂...huu ndo utapeli wa hisia, bwana dronedrake kaliona hili
I support you...kama wewe sio introvert hawez kuelewa....great thinkers wote ni ma introvert na sifa Mojawapo kuu ya introvert ni alone timeUnajua innovation zote duniania almost zimeanzia geto or garage ambako mtu anafanya different testing and ideas sio kukaa geto unaangalia juakali utakua mwehu,great thinkers watanielewa.
Msalimie mkeo.safi sana mpaka mseme
endeleeni kuoa
Mjini Kuna mamboNlikua najua kitchen party na kuchezwa ngoma tu
Kiukweli tu unachoshaa jamani ugali na dagaa januari to December😄😄Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaaa yaan basi tuu...halafu binadamu tumeumbwaa kuchoka na kukinai...vinachoshaaaaTukikupa mtihani kuanzia January hadi December ule ugali na dagaa utaweza?
Muhimu tuzidi kuombeana heri na kuchukuliana, hakuna aliye Mkamilifu
Hakuna wakunijutisha hapo 😊Hohehahe mtumainiye mungu jichanganye ujute 😂
Sure wenye ndoa nzuri wapo...ni sawa na wale watu wanawaambia watu siku hizi hakuna Ajira ukisoma course hii Ajira ngumu kupata unakuta yeye Yuko mtaani mwaka wa 6 Hana kazi unasoma zako unamaliza chuo ndani ya miaka miwili unapata kazii...inshory maisha hayafanani kama wewe unateseka ndoani mwingine anaenjoy.....inshort life is how you make itKwakweli !
Though mi Nina mtizamo chanyq.
Nimegundua wengi waliokosea kwenye hili eneo wanataka kuaminisha watu kuwa ndoa ni mbaya,kitu ambacho sio sawa
Kuna watu hawajui shida kwenye ndoa zao!
Lkn pia changamoto kawaida watu mmelelewa ,mmezaliwa tofauti unategemea nn?
Mungu kwanza,upendo, uvumilivu...basi