Aisee nishajipatia nafasi njoo tuyajenge !Haha, ninachoweza kusema ni kuwa nijitahidi sana kuwa the best wife/mother, I can ever be for the right person.
Aisee nishajipatia nafasi njoo tuyajenge !Haha, ninachoweza kusema ni kuwa nijitahidi sana kuwa the best wife/mother, I can ever be for the right person.
Kiwango gani cha vidato?Me huwa najiuliza,ndoa za watu ambao hawajaenda vidato huwa ziko vipi?maana naona kama zimekaa kipori pori flani hivi.
kabisa, na mimi pia napenda mwanaume aliyesoma, mwanaume/mwanamke asiye na shule hata siri hana yaani akidet na mtu lazima marafiki zake wote wajue.
mimi sipendi kabisa mwansume asiye na shule, huwezi hata kuchat naye, kiingereza kidogo tu anashindwa kuelewa, hata mambo ya duniani anakuwa hajui zaidi ya ushilawadu.
lakin maisha ni mazur mpka raha. Sijaoa udaktari wake,nae anajua ameolewa kama mwanamke sio kama msomi,sababu usomi wake ni huko kwenye taalum yake full stop. Akiwa home ni mke,tena mke anaejielewa na kujua majukumu yake km mke.. Kutokana na maisha tunayoishi wengi hudhan na mimi nimesomaaaa kumbe walaaa,na hajawah kuringia elimu yake zaid ya kusema sitak wanangu wafanye kazi nayofanya cz anaona changamoto zake... Kubwa ambalo naona kwenye mahusiano mengine yanayoleta shida kwenye elimu kwa mtoto wa kike ni kiburi alichotoka nacho kwao,,lakin kama ameishi kwa uadilifu na kumjua mungu udaktari na usomi wake unaishia nje ya geti. Msiogope waoeni ni wazuri na wanajielewa...Sio kweli mkuu,hiyo ni tabia ya mtu na malezi aliyokulia.Inasemekana wengi wao si wasikivu wala utii kwa mme hamna kutokana na emancipation through education
Hapana sio hivyo,hao ni tabia zao tu. Kwangu mm Mme/mke ni zaidi ya elimu au kazi aliyonayo. Upendo ndio jambo la msingi na ukimpenda mtu utamheshimu na kumjali kwa kila hali.Lakini ndio wanajifanya wanajua kila kitu kwa sababu huwezi kuwayumbisha na elimu zao, si ndivyo?
Kaka nakuunga mkono. Nina mchumba daktari ana heshima mpaka najishangaaga mimi naheshimiwa kwa lipi. Ingawa mimi nina kadegree kangu ka mambo ya biashara ila kwangu udaktari wake unaishia huko na wagonjwa wake.Mfano wangu mimi mwenyewe ambao naishi nao,,,wenxangu sijui
Mke ni Daktar mwenye mastars ya Mifupa,mimi nimeishia darasa la nne![]()
![]()
lakin maisha ni mazur mpka raha. Sijaoa udaktari wake,nae anajua ameolewa kama mwanamke sio kama msomi,sababu usomi wake ni huko kwenye taalum yake full stop. Akiwa home ni mke,tena mke anaejielewa na kujua majukumu yake km mke.. Kutokana na maisha tunayoishi wengi hudhan na mimi nimesomaaaa kumbe walaaa,na hajawah kuringia elimu yake zaid ya kusema sitak wanangu wafanye kazi nayofanya cz anaona changamoto zake... Kubwa ambalo naona kwenye mahusiano mengine yanayoleta shida kwenye elimu kwa mtoto wa kike ni kiburi alichotoka nacho kwao,,lakin kama ameishi kwa uadilifu na kumjua mungu udaktari na usomi wake unaishia nje ya geti. Msiogope waoeni ni wazuri na wanajielewa...
Unajua wengi waliofanikiwa maisha,ndoa zilizodumu,na mengi ktk maisha yanayowazunguka,hawa hawana vyeti vingi,,bali walikua na elimu bora ya msingi ambayo haipatikani shuleni,,inaanzia tumboni mwa mama zao na mazingira wanayokulia,,,naSio kweli mkuu,hiyo ni tabia ya mtu na malezi aliyokulia.
Hiyo inategemea na mtu mwenyewe na malezi yake plus tabia. Ukiringia usomi wako lazima hayo yakutokee tu lkn ukijua mipaka yako ndoa haitayumba.ni kweli ila ndoa za wasomi ni shda zaid
asiye soma ana ka advantage kdogo
Komaa na daktari wako mkuu,udaktar wake unaishia getini,,labda anakua msaada kwa ushauri wa umbao unaweza kukusaidia kama unaugua maana hata kukutibia nyumban hawez so komaa nae,,mi nafurahia maisha,naheshimika kulko hata yy,sababu sijaoa fani yake nimemuoa yy,,na siku akija nisaidia kwenye biashara zangu anakua mkali kam mfanyabiashara haswa,ule udaktari unabaki kwenye kituo chake cha kaziKaka nakuunga mkono. Nina mchumba daktari ana heshima mpaka najishangaaga mimi naheshimiwa kwa lipi. Ingawa mimi nina kadegree kangu ka mambo ya biashara ila kwangu udaktari wake unaishia huko na wagonjwa wake.
Kuna mwanamke yuko desperate sana na ndoa....ni mwalimu by profession. Watu wananiambia nimuoe mwalimu hatonisumbua....ila mi moyo umemfia daktari.
wanume ndiyo inawahusu .. mwanaume pesa huna basi
Hayo uliyosema yaweza Kuwa kweli lkn inategemea sana na malezi aliyokulia mtu. Kwa mwanamke anaejitambua wala hayumbishwi na elimu yake. Kikubwa ktk ndoa ni upendo.Unajua wengi waliofanikiwa maisha,ndoa zilizodumu,na mengi ktk maisha yanayowazunguka,hawa hawana vyeti vingi,,bali walikua na elimu bora ya msingi ambayo haipatikani shuleni,,inaanzia tumboni mwa mama zao na mazingira wanayokulia,,,na
Na wengi waliofaulu katk ndoa walipass ile compatibility test.. So wote nadhan mnajua zawadi pekee ya elimu ni KIBURI lakin kwa mtu ambae mwenye elimu ya msingi vizu na akafanikiwa kuipata elimu ya darasani hawez kufeli mambo madogo madogo,, wasaidien watto wenu mazingira bora na elimi bora ya msingi ambayo haipayikan shulen ili baadae waje kuishi kwa aman na uelewa na mambo atakapoipata elimu ya darasani... Ukiwa na elimu ya darasani tu hakika inakuletea kiburi
Kilichonifanya nikaacha kazi na kufanya business zangu kwanza ni yeye. Nilimpenda mno.....nilikua nafanya kazi bank fulani mshahara mbuzi kipindi hicho yeye anasoma chuo. Nikasema huyu mwanamke akimaliza chuo aje anikute na mshahara huu au akinikaribia ntakosa heshima. Nikakata shauri nimpite income kabla hajaja mtaani huku. Nikajitosa business na kuacha kazi ingawa nilionekana kichaa na watu wengi lakini nikasema potelea mbali. I know what I wanted to be.....nina dreams nyingi pale bank ningechelewa tu.Komaa na daktari wako mkuu,udaktar wake unaishia getini,,labda anakua msaada kwa ushauri wa umbao unaweza kukusaidia kama unaugua maana hata kukutibia nyumban hawez so komaa nae,,mi nafurahia maisha,naheshimika kulko hata yy,sababu sijaoa fani yake nimemuoa yy,,na siku akija nisaidia kwenye biashara zangu anakua mkali kam mfanyabiashara haswa,ule udaktari unabaki kwenye kituo chake cha kazi
Nikupe mchapo, kuna ndugu yangu kaoa mwanamke anamzidi mwaka mmoja. Siku moja nililetewa shitaka kuwa ke hamheshimu me. Me anataka kila mtu aende kivyake. Nilipowakalisha kila mtu na lake ila baadaye me akafunguka kuwa anamdharau kwa vile amemzidi umri. Nilipododosa me akasema kuna siku walikuwa na argument ke akasema 'huu ni utoto'. Ilibidi nitumie nguvu ya ziada hadi wakaelewana na nikamkanya ke kuwa hata siku moja asilitamke hilo neno utoto. Mpaka leo wapo pamoja. Sisi Me tuna inferiority mbaya wakati mwingine vipigo kwa akina mama hutokana na hiyo (ati ananidharau). Kula unaweza kula yoyote ila kuoa lazima muweni makini mkijifunza kutokana na makosa yetu tuliowatanguliaHii inferiority complex kwa wanaume nayo ni jipu. Mwanaume kujiamini bwana hata kama umezidiwa. Confidence itafunika mapungufu ya mtu. Lakini ni bora kujiongeza kama mwanamke anazidi, ili kupunguza wasiwasi.
Tena hilo ni tatizo kubwa sana,mm hadi niliamua ku give up. Nilikuwa na mwanaume namzidi kipato licha ya kumheshimu na kumthamini kwa kila hali lkn hakuridhika. Yaan kila siku malalamiko tu hakuwa anajiamini kbs. Usipiomba hela ya kusuka au mahitaji yako basi kelele tu namdharau kwa vile namzidi kipato na elimu,dah akipiga simu usipopokea kelele mtindo mmoja bila ht kutaka kujua sababu ni nn.Nikupe mchapo, kuna ndugu yangu kaoa mwanamke anamzidi mwaka mmoja. Siku moja nililetewa shitaka kuwa ke hamheshimu me. Me anataka kila mtu aende kivyake. Nilipowakalisha kila mtu na lake ila baadaye me akafunguka kuwa anamdharau kwa vile amemzidi umri. Nilipododosa me akasema kuna siku walikuwa na argument ke akasema 'huu ni utoto'. Ilibidi nitumie nguvu ya ziada hadi wakaelewana na nikamkanya ke kuwa hata siku moja asilitamke hilo neno utoto. Mpaka leo wapo pamoja. Sisi Me tuna inferiority mbaya wakati mwingine vipigo kwa akina mama hutokana na hiyo (ati ananidharau). Kula unaweza kula yoyote ila kuoa lazima muweni makini mkijifunza kutokana na makosa yetu tuliowatangulia
tafuta pesa wewePesa kuna MTU kazaliwa nazo na wew uo ushamba was Maisha