FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Inaweza kua hujaeleweka na hujaelewa wanaposema elimu yake inaishia getiniHivi mnaposema udaktari wake/masters yake inaishia getini mnamaanisha Nini?? Kwani wanakujaga kuwaprizentia theisis zao humo ndani!!
Bashitez.
Basically mnachoongelea hapa ni kazi za nyumbani. Wanaume mnataka kukaa tu mkiangalia wake zenu wanazifanya, Sijui ndo mnajihisi wanaume!!
Furushiz.
To each his own. Tafuta wa kufanana nawe.
oa mwalim weweKaka nakuunga mkono. Nina mchumba daktari ana heshima mpaka najishangaaga mimi naheshimiwa kwa lipi. Ingawa mimi nina kadegree kangu ka mambo ya biashara ila kwangu udaktari wake unaishia huko na wagonjwa wake.
Kuna mwanamke yuko desperate sana na ndoa....ni mwalimu by profession. Watu wananiambia nimuoe mwalimu hatonisumbua....ila mi moyo umemfia daktari.

kwa kweli i have learned alot from you, ahsante sana.
so in the end tumezungukaa na tumerud kwenye conventional wisdom and practise, you will have to find wasaidizi, then wait and see what happens, nani ata ziterm shughuli kuwa hizi kubwa na hizi ndogo!? haijulikani it will be upon you. how your husband will define shughuli kubwa na ndogo na yeye ata tumia sana kigezo cha shughuli muhimu na zisizo muhimu ikitokea mnapishana mawazo itakuwa disaster, so tutarudi kule kule, the point is mtu atakaye mpata ata handle hivo vitu!? inategemeana.nakuacha na msemo una sema "when all things are important nothing is important" mwisho wa siku you will have to choose one thing, kwa kuwa ndoa ni makubaliano lazima mumeo akubaline nawe kipi ata take na kipi hata take.
na wanaume tuna tofautiana wakat mwingine atamind how you are, mwingine atafurahi na kusema she brings money home so i let her off the hook.
you are one of few people who have articulative language, your ideas are very well presanted.
kuhusu nurses na teachers ooh hata mimi i can at least say wana faa![]()

Aisee nishajipatia nafasi njoo tuyajenge !

walau wao walibahatika kupata vidiploma vyao vya enzi za nyerere...so wako poa
shida sio elimu shida ni nidhamu yake atakayo kua ametoka nayo kwaoHabari wanaJF!
Mara nyingi nimewasikia watanzania wengi waki-discourage kuoa wanawake waliosoma hasa mpaka ngazi ya University!
Naombeni ku-share uzoefu na ndugu zangu mliooa wanawake wasomi ,changamoto mnazozipata ambazo unadhani ni kutokana na elimu yao , mazuri mnayoyaona kwa kuwa na wanawake wasomi
na kwa kuhitimisha ,je ni kweli si wife materials kama wengi wanavyodai?
Ahsanteni ndg. zangu nauliza kwa nia njema tu
theory hizi weweunamke msomi?mwanamke msomi ni wazuri kama utakuwa na sifa hizi...
1. uwe msomi kama yeye au umzidi kidato..
2. uwe na mshahara uliomzidi au mfanane..
3. uwe unajielewa kwake yaan kila wazo lako liwe positive...
4. ujiamini kwake mambo ya wivu wa kijinga na kumpelekesha pelekesha hawapendi..!!!!
kaka una diploma nini maana sio kwa povu hiloMkuu unadharau sana ...sio kwa kujichetua huko
sina mke msomi kiivyo wa kawaida tu ila kuna nilipochepuka chepuka huko ndo nikapata ka uzoefu kidogo..!!!theory hizi weweunamke msomi?
usishauri kama huna mke sisi tunaulizia mwenye mkesina mke msomi kiivyo wa kawaida tu ila kuna nilipochepuka chepuka huko ndo nikapata ka uzoefu kidogo..!!!
Nikupe mchapo, kuna ndugu yangu kaoa mwanamke anamzidi mwaka mmoja. Siku moja nililetewa shitaka kuwa ke hamheshimu me. Me anataka kila mtu aende kivyake. Nilipowakalisha kila mtu na lake ila baadaye me akafunguka kuwa anamdharau kwa vile amemzidi umri. Nilipododosa me akasema kuna siku walikuwa na argument ke akasema 'huu ni utoto'. Ilibidi nitumie nguvu ya ziada hadi wakaelewana na nikamkanya ke kuwa hata siku moja asilitamke hilo neno utoto. Mpaka leo wapo pamoja. Sisi Me tuna inferiority mbaya wakati mwingine vipigo kwa akina mama hutokana na hiyo (ati ananidharau). Kula unaweza kula yoyote ila kuoa lazima muweni makini mkijifunza kutokana na makosa yetu tuliowatangulia
mna muda gani kwenye ndoa yenu... na pia kumbuka sio kila mwanamke msomi yupo hivyo ila wengi wao tena kwa asilimia 80% ndo ipo hivyo..!!!!usishauri kama huna mke sisi tunaulizia mwenye mke
Mimi mke wangu ana masters mimi nina Degree na heshima anayo yakutosha tu na sio kwamba nina kipato zaidi ila malezi tu alivyo yeye.