ushauri wangu ni kuwa unapoamua kuoa usijitazame wewe tu utaenjoy kias gani na huyo mke ila fikiria baada ya kuwa naye ktk ndoa kwa muda kadhaa na kupatikana mtoto, huyo mtoto atalelewa ktk misingi ipi ya maadili yaliyo bora. Kuna wazaz wengi wanajisikia vibaya sana pale anapomuona mtoto wake anatabia zisizopendeza ktk jamii, na kuna baadhi ya watoto wanaonesha tabia njema wakiwa na wazazi wao ila wakiwa mbali ni vicheche tu.
Mwanamke msomi lakin akiwa ni mama wa nyumban hajaajiriwa huyu anafaa sana kuwa mke ikiwa tabia yake itakuwa nzuri mana atakuwa na muda wa kutosha wa kukaa na familia na kujua mtoto wake anakuwa ktk misingi ipi na tabia ipi hivyo inakuwa rahis kwake kujua tabia mpya ya mtoto wake ikoje, lakin msomi aliyeajiriwa huwa hana muda wa kutosha wa kukaa na familia yake, mara nying muda wa yeye kuwa nyumban anakuwa amechoka na anahitaj kupumzika, hivyo kuna uwezekano mkubwa asijue mtoto wake anakuwa vp na ana tabia zipi mpya mana muda mwingi mtoto anakuwa ktk mikono ya watu wengne lakin pia kuna uwezekanao baadhi ya siku mwanamme akashindwa kuenjoy tendo na mke huyo kutokana na uchovu wa kazi za ofisin.
Mwanamke ambaye hajasoma kabisa naye pia ni tatizo. ila msomi afu mama wa nyumban yuko poa sana hasa wale waliosoma dini tu