The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Habari wanaJF!
Mara nyingi nimewasikia watanzania wengi waki-discourage kuoa wanawake waliosoma hasa mpaka ngazi ya University!
Naombeni ku-share uzoefu na ndugu zangu mliooa wanawake wasomi ,changamoto mnazozipata ambazo unadhani ni kutokana na elimu yao , mazuri mnayoyaona kwa kuwa na wanawake wasomi
na kwa kuhitimisha ,je ni kweli si wife materials kama wengi wanavyodai?
Ahsanteni ndg. zangu nauliza kwa nia njema tu