Kumbuka, wanaume wengine huoa wasomi kwa imani kwamba atapata kazi aitunze familia.Sasa kama msomi mwenyewe ni kicheche toka enzi,kuna ndoa hapo? Kuna wazee nasikiaga wakishauri vijana kwamba waoe tabia,na siyo pesa wala elimu.Wengine wakienda mbali,wanakwambia kabla ya kumuoa binti,muoe mama yake(wanachomaanisha hapa si kumbanjua mama mkwe jamani)!!!Kwanza mchunguze mama yake!Watoto walio wengi wa siku hizi,ukiona mama mkwe anatia shaka,ujue na binti yake ni hivyo hivyo.Ukizenguana nae utamwambia nani? Mama mtu si atakwambia wanaume wengi muache aje! Mtasuruhishana wapi? Si atakwambia twende hotel ya nyota 5 mi sikaagi vichochoroni! Utaujua mziki wa facebook generation.
Kuna mtu mmoja tulihudhulia harusi yake,mpaka mama mkwe kalewa kabebwa,group la mwanamke,mavazi aibuuuu mbele za wazee!Jama akawa amesikitika hana raha kabisa!Sasa cha ajabu siku hizi jama akitoka kazini akiuliza msosi mwanamke anamwambia sikuwepo nimemuachia housegirl, kurudi mpaka saa nne,akigombezwa tu,atarudi baada ya siku tatu.Jama ana watoto wakubwa,alizaa na mwanamke mwingine.Miezi miwili tu,jamaa anaomba msamaha arudiane na mama watoto. Huyu nae kashapata wa kumpooza joto,anamjibu wewe juzi umefunga ndoa,umeniarika nije nishuhudie,sasa endeleeni na mi nina wangu. Mkuu nae siku hizi anapiga picha na wadada mbali mbali anatupia insta na whatsapp kukomoa wife, nyumbani si hamna mtoto! Eti anahakikisha housegirl amepata msosi,yeye anakuja kubadilisha nguo tu, wife wake nae anatubia tupicha na mama yake wakiwa bar! Kugegeda sawa,lakini wengine wasiponzwe na ufundi wa wagegedwaji,wengi wao hawastahili kuolewa