binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,104
- 34,395
Hayo ni maneno ya watu wasiojiamini.
Hakika mkuukila mmoja anachangamoto zake katika ndoa, cha msingi ni penzi la dhati kwani mkipendana mambo mengi hufunikwa na upendo.
Kuapia dhambi!Apia!!!
Aisee....Haha, ninachoweza kusema ni kuwa nijitahidi sana kuwa the best wife/mother, I can ever be for the right person.






Bujibuji soon tutakuteka hata kama una Li PHD la chemistry sio unawachukua warembo wote JF . Miss wote wawili wako chagga na natafuta sky tena wako... mkuu hapana kwa kweliBujibuji na Miss Natafuta ni wasomi wabibezi tuliohitimu elimu ya juu ya chekechea , yaani ni wasomi feki kabisa, kama Yule jamaa ambaye ukihoji PhD yake lazima upotezwe kama Ben Saanane
Inasemekana wengi wao si wasikivu wala utii kwa mme hamna kutokana na emancipation through educationSio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
Mje pamoja hapaNitarud


Mhhh nitarudi
Wacha wivu, learn from the best, mwenzio natumia mbinu mbili matata sana .Bujibuji soon tutakuteka hata kama una Li PHD la chemistry sio unawachukua warembo wote JF . Miss wote wawili wako chagga na natafuta sky tena wako... mkuu hapana kwa kweli
Lakini ndio wanajifanya wanajua kila kitu kwa sababu huwezi kuwayumbisha na elimu zao, si ndivyo?Mwanamke ni kujielewa tu. haijalishi umesoma mpaka wapi,au umeishia wapi, kuna walio oa wasomi wenzao. Na bado wanasumbuana na changamoto nyingi tu. Kulinganisha na ambao hawajaoa wasomi wamesimama imara na maisha yanaenda hadi unashangaa
Aisee Good goodHiyo ni dhana iliyo jengeka tuu kama ilivyo kwenye makabila...
Kwa mie tabia ya mtu haiangalii usomi, kabila, dini, utajiri au umaskini..
Wapo walioolewa ni wasomi wametulia na wengine hawajatulia, na ambao sio wasomi vile vile wapo waliotulia na wengine ndo vile tena..
Kama muoaji kigezo na usomi Sidhani kama ndo kinampa mtu mke mwema au la... Yapo mengi saana ya kukufanya uwe na umpendae
