kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Umeolewa?Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.