Ndoa za wasomi

Ndoa za wasomi

Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
umeongea vema...wengi vimeo...
 
Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kammke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
You seem to be among of them, nimekupenda bureeee
Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
 
Mwanamke ajielewe, mwanaume ajielewe. BASI. mengine mbwembwe tu
 
Mfano wangu mimi mwenyewe ambao naishi nao,,,wenxangu sijui

Mke ni Daktar mwenye mastars ya Mifupa,mimi nimeishia darasa la nne lakin maisha ni mazur mpka raha. Sijaoa udaktari wake,nae anajua ameolewa kama mwanamke sio kama msomi,sababu usomi wake ni huko kwenye taalum yake full stop. Akiwa home ni mke,tena mke anaejielewa na kujua majukumu yake km mke.. Kutokana na maisha tunayoishi wengi hudhan na mimi nimesomaaaa kumbe walaaa,na hajawah kuringia elimu yake zaid ya kusema sitak wanangu wafanye kazi nayofanya cz anaona changamoto zake... Kubwa ambalo naona kwenye mahusiano mengine yanayoleta shida kwenye elimu kwa mtoto wa kike ni kiburi alichotoka nacho kwao,,lakin kama ameishi kwa uadilifu na kumjua mungu udaktari na usomi wake unaishia nje ya geti. Msiogope waoeni ni wazuri na wanajielewa...
Hongera mku, ila nachelea kusema kwamba mkeo ndio wale ambao waliolewa kwa bahati hasa kutokana labda na umri kusonga, sura na umbo lake vikawa si vya kuvutia sana. Hapo utanisamehe maana mpaka mwanamke msomi akubali kuolewa na asie msomi ujue aliku desperate sana
 
Hapana nmemkata nyuzi akiwa mwaka wa kwanza 2006,na nmemuoa mwaka 2012 akiwa na 26 na sasa mm nina 37 nae 31 sasa sijui umri upi unaosema mkuu,,nmeoa kufuata taratibu zote zinazotakiwa,kilichonifanya nimuoe nilijijloza kama yupo chuo mwaka wa kwanza na bikra yake sasa ni mwanamke gan mwngine nimtafute zaid ya huyu,,bas mungu akafanya wepes,,darasa la nne langu sijawah kulidhadau ila nmefanikiwa kupata kila nachokihitaji maishan,,sijawah kukwama kutokana na elimu yngu,sijawah kujutia kutokusoma maana sina nachokosa na ndio maana niliamua kumlipia mastars akasome china miaka mitatu bila hofu,,,,mm ndio dereva na yy ndiye msaidiz wngu,maana mm mjanja kuliko yeye,mtundu wa lugha za watu kuliko yy,nimeish nje kulko yy,nmefanikiwa kabla hata ya kumwoa yy so cjajua kipimo gan ulipimia kuamini unachokiamini.. Na ndio maaana sidanganyag elimu yangu ppte,,,
 
Halafu mwsho nimalizie ni mzur kichizi.. Kuanzia kizaz cha miaka ya 86-1995 watto wa kike wanaosomea udaktar kwanza ni smart kuanzia kichwan mpka sura na umbo mubashara
 
Hehe, asee, mtu kusikia 'utoto' akajihisi.
Nashukuru umelisema hilo la kupiga wanawake kuwa ni inferiority complex. Kupiga mwanamke ni uboya usio kipimo.
Hahaha !!! Utapigwa tu (In Pinda's voice)
 
Hapana nmemkata nyuzi akiwa mwaka wa kwanza 2006,na nmemuoa mwaka 2012 akiwa na 26 na sasa mm nina 37 nae 31 sasa sijui umri upi unaosema mkuu,,nmeoa kufuata taratibu zote zinazotakiwa,kilichonifanya nimuoe nilijijloza kama yupo chuo mwaka wa kwanza na bikra yake sasa ni mwanamke gan mwngine nimtafute zaid ya huyu,,bas mungu akafanya wepes,,darasa la nne langu sijawah kulidhadau ila nmefanikiwa kupata kila nachokihitaji maishan,,sijawah kukwama kutokana na elimu yngu,sijawah kujutia kutokusoma maana sina nachokosa na ndio maana niliamua kumlipia mastars akasome china miaka mitatu bila hofu,,,,mm ndio dereva na yy ndiye msaidiz wngu,maana mm mjanja kuliko yeye,mtundu wa lugha za watu kuliko yy,nimeish nje kulko yy,nmefanikiwa kabla hata ya kumwoa yy so cjajua kipimo gan ulipimia kuamini unachokiamini.. Na ndio maaana sidanganyag elimu yangu ppte,,,
Hongera sana mkuu, sorry pia kama umekwazika kwa namna yoyote. Ni wanawake wachache sana wasomi wanaojielewa.

Ila nimegundua kitu kimoja, umeweza kumcontrol kwa sababu una mafanikio hasa ya kipato kuliko yeye.

Btw La nne hoyeee (In Msukuma's voice)
 
Halafu mwsho nimalizie ni mzur kichizi.. Kuanzia kizaz cha miaka ya 86-1995 watto wa kike wanaosomea udaktar kwanza ni smart kuanzia kichwan mpka sura na umbo mubashara
Hahaha mkuu.....kila la kheri
 
Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
Hapo safi,mm mwenyew lazima nioe dada somi bana.hawa wengine watanipa shida kuelewana nao ndani
 
Hongera mku, ila nachelea kusema kwamba mkeo ndio wale ambao waliolewa kwa bahati hasa kutokana labda na umri kusonga, sura na umbo lake vikawa si vya kuvutia sana. Hapo utanisamehe maana mpaka mwanamke msomi akubali kuolewa na asie msomi ujue aliku desperate sana
Yah,hizi situation zinatokea sana,hasa dada umri ukiwa umesonga.
 
Hakuna na hayupo narudia hayupo yaani 100% ya wanamme wote tunataka kuwa wenye sauti ktk familia including wake zetu na hii ni kutokana na kile Mungu alichokiweka ndani yetu ambacho anajua mwenyewe,tunatekeleza tulichoagizwa na sio mfumo dume, mwanamme always ni kiongozi kwa mke wake so kama elimu inawafanya kutotii tutazidi kuwaona wa kazi gani hamna namna nyingine!
Baadhi ya wanaume wanatumia nafasi ya 'kichwa cha familia ' vibaya kuumiza familia na mke...kwa mema swaa,ila hata mke inabd uangalie lipi jema kwako na kwa familia huwezi kuwa mtu wa ndio kwa kila asemalo mume,yeye pia binadamu
 
Marehemu mama yangu alikuwa ameishia darasa la saba, baba ana degree moja lakini sikuona tatizo lolote kati yao walitulea kwa upendo, sikuona mama akiyumba au baba akimdharau kwa kuwa hajasoma, Tumekulia kwenye familia ya raha hadi mama yangu Mungu alipomuita miaka ya hivi karibuni.
Ndoa ni maelewano tu!!
Mama yangu ni form 4 leaver baba ana degree mbili, ni wazazi wazuri sana ila ndoa yao wawili is a living hell to each other,kila mtu amuona mwenzie mbaya..tafrani na malalamiko kila uchao
Naamini Ndoa ni maelewano sio elimu, haijalishi mpo vipi kielimu, cha msingi ni nyie wawili kupendana na kuelewana..
 
Naona wanawake wanajitetea zaidi kuliko wanaume wanavyotoa maoni yao. Na hapa JF naamini wengi sio mbumbumbu......kutafuta excuses huku kwa wanawake ni ishara tosha wanawake wasomi ni pasua kichwa. Ila yule mchumba wangu daktari wa binadamu simuachi.

Kuna mzee 1 kipindi nafanya bank kabla sijaacha nilienda kumtembelea nyumbani kwake from nowhere akaniuliza kama nimeshaowa. Nikasema hapana, akaniambia achana na wanawake walioenda shule.....ni wasumbufu. Owa moderate tu utasalimika.
Tatizo mke msomi ukimwambia aache kazi yake aje mfanye biashara hakubali....anaona kama unataka kumwachisha tu kazi.

Bora Magu alivyobana ajira sasa hivi wapo tu kitaa na usomi wao kwa kuwa hawana pesa angalau wana heshima. Ndio, si wanakuja getto tunafanya yetu ukimpoza hela ya nauli tu anaondoka kiroho safi.
Mda mwingine mtalaumu wanawake bure mweh,watu wengine hawana nyota ya biashara ama kazi aliyonayo inamlipa zaidi kuliko biashara unayopendekeza ama background aliyotoka ameona biashara zikifeli so salama kwake ni kazi nk nk
Ni changamoto sana,mana kila mtu kakulia kwao
 
Back
Top Bottom