Ndoa za wasomi

Ndoa za wasomi

Field yangu inabidi nisome zaidi kupata promotion...
Napenda kusoma by the way... Nisipochukua PhD ntachukua masters nyingine

sitaki kuamini kama wewe ni lecturer kwa kuwa huko ndio PHD zna hitajika, so MA ni kiwango standard kabsa kwa field yeyote hasa kwa mtoto wa kike zaid zaid piga kaz kwa bidii na uwe na experience tu.
sasa unashinda unasoma tu ili uje uwe nan!! una mtisha mpenzi wako hapo.
 
Lecturer
 
Mimi na kiji Degree kangu haka nimejitahidi kua mke bora,mkwe bora,mama bora,shemeji na wifi bora,usisahau mapenz ya ndoa sio ya wewe na mumeo tu ni ya wewe mumeo na ndugu zake v/s
 
Bujibuji punguza hizo 'R' ni nyingi mno bro. Umeorewa =Umeolewa, Umaraya-umalaya, Rara =lala, Nikurenge=Nikulenge. Usipo zibadilisha faiza fox atakuja kukutoa kasoro sababu yeye ndiye mkufunzi mkuu wa Kiswahili wa JF🙂
That was a banter!
 
Mkielewana na kufahamiana vyema, Mwanamke mwenye Elimu sio tatizo. Ila mkiokotana lazima mchonge barabara mbele ya safari kwenye ndoa yenu....(itawashinda).
 
Hahaha!!! Ushindwe!
I will make a great lecturer... Bado sijaingia kwenye system yet. Ila ndo field nnayoipenda.
looh! afadhali
maana nlishasema kwa mtindo wa ma lecturers kama wewe, nikija pata mtoto ntamsomesha hata kongo tu ila siyo tz.
then dont go!!
i dont think its good for our kids.

you can just make a nice manager somewhere.
 
Mkuu kwani nina kasoro gani?
Ivi unadhani lecturers ni watakatifu ama?
Ukiwa kazini unavaa sura ya kazi ukitoka life linaendelea.
 
hahaha
mkuu na wewe unajiona kabsa una faa ku impart your wisdom and knowledge to our kids!?
mi nadhan ufanye managerial things tu itakaa poa
 
haitoshi
na wala siyo sifa maana malezi ya mtoto tena ndio huwa untensive pale anakua kua kabsa, ndio kipindi cha kumshape, japo hata kuacha kwa muda alijitahidi, but sidhan kama imemuonesha she could be a mother and a wife perfectly.
all in all alicho kifanya si jambo la kubeza pia, ila si jambo la kulishkia bango kama mfano wa mama alo balance mambo waka haja imply chochote

Whaat? Haitoshi??? Duh!
Haya bana, sijui mnataka tu sacrifice Mangapi for the sake of the family.
 
hahaha!
ukisha sema ku sacrifice ndio hilo tatizo, your dutiea are yours, sasa kazi zako zina kufanya ujione kama una sacrifice mambo kshenzi wakat it is your duty, lakin mwisho wa siku it is good kwa mtoto wa kike kusoma, ila kwa maana ya family value,
1.its good elim yake iishie mlangoni mara anapo ingia hom maana its bad enough kasoma. lakin kwa human nature director Nale utataka kuleta ule u director hata home, ndo na kauli za ku sacrifice hizo bas utajiona you do alot kumbe mumeo ana kucheki tu

2.for a man pride ni vema akampita mke wake kipato na elim, maana mume kifanikiwa ni pride ya mke ila mke kufanikiwa ni shame of a husband(naongelea socially) chukulia mfano simple tu wakat tuna wafaham wake za viongozi kina Janeth, mume wa makam wa Rais mama Samia hata hatumjui , regardless huko kwao wanaishije. ndio maana wanawake mkifanikiwaga mna anza viburi yaan ni mbaya sana kwa mwanaume kuoa hizo type za material.
 
Hahaha, duh!, sawa Mr Iceman. I respect your point of view.
Hapo kwenye ku sacrifice umenibamba lakini, ukiangalia the so called duties, we always go extra. Neno sacrifice linaweza kuonekana too tacky but that's what we do.
Ni kweli you guys always mnakuwa mbele no matter what we do, no matter how far we are occupation wise kama hao wakina mama Samia.

Lakini hii ya kuacha elimu yangu mlangoni mh! 🙂
Ndo nikasema mwanamke anayejielewa hata ruhusu elimu yake iwe kikwazo kwenye familia yake. Tena mume ata enjoy zaidi cos, she'll have his dinner on time, she will be a wonderful mother to his children and will be there for his family. Na atafanya yote haya na elimu yake pembeni yake, sio mlangoni. 😀
 
well, i want to appriaciate the level of intelligance you have, its excellent!!!
okey, naongelea elim ya darsan, siongelei elim ya uelewa wa jumla maisha because you need that, neno elim li combine kwenye cheo, social status or any achievement, si demand u uuvue uelewa uwe boya , na demand uache mlangoni elim ya achievements hiyo (may be uta iterm vzuri mwenyewe), sasa ukiwa na PhD yako ya law then iko pembeni uka uweka na umama pale, believe me marriage will test you and you will fast pick your law PhD to ruin things,
do i believe you can be a better mom when you get your social status besides you and not leave it at the door?, Noo you wont!! do i belive that even a lady ambaye idealy anajielewa kama wew can leave it all at the door?, Noo you wont!!, do i believe if you do all the above you are a subject of being a failed wife and mom?, hell yeess by 98%, do i believe Nale with all your good ideas and thoughts when you are focusing on work you will be a good wife and mom? 80% you shall fail, but at the begging of marriage you can use 20% and utakuwa unachoka as hell, the reality will catch you up, you will come to the 98% .
 
Thank you!, I appriciate your Intelligence as well, and your savvy argument too, unantoa jasho haswa!, got to admit that..lol
Hapo sasa nimeelewa ulipo dadavua elimu ya darasa Vs elimu ya uelewa. Ni kweli usemavyo, kuna wengine wanafail hapo ukiipa elimu darasa nafasi kubwa katika ndoa kutegemea fani ya mtu. Sasa ndo nimeelewa kwa nini wanaume wengi wanaafiki kuoa nurses, teachers..etc
But trust me, inawezekana ku balance it all, and be successful kwa kiasi kikubwa tu. Ni vile mtu anajipanga, inaonekana mambo yanaweza kuwa mengi na hivyo mtu kuchoka lakini unaweza kuwa na msaidizi wa kufanya mambo ya ziada wakati mtu anajikita na mambo makubwa ya kifamilia.
 
inaonekana mambo yanaweza kuwa mengi na hivyo mtu kuchoka lakini unaweza kuwa na msaidizi wa kufanya mambo ya ziada wakati mtu anajikita na mambo makubwa ya kifamilia.
kwa kweli i have learned alot from you, ahsante sana.
so in the end tumezungukaa na tumerud kwenye conventional wisdom and practise, you will have to find wasaidizi, then wait and see what happens, nani ata ziterm shughuli kuwa hizi kubwa na hizi ndogo!? haijulikani it will be upon you. how your husband will define shughuli kubwa na ndogo na yeye ata tumia sana kigezo cha shughuli muhimu na zisizo muhimu ikitokea mnapishana mawazo itakuwa disaster, so tutarudi kule kule, the point is mtu atakaye mpata ata handle hivo vitu!? inategemeana.nakuacha na msemo una sema "when all things are important nothing is important" mwisho wa siku you will have to choose one thing, kwa kuwa ndoa ni makubaliano lazima mumeo akubaline nawe kipi ata take na kipi hata take.
na wanaume tuna tofautiana wakat mwingine atamind how you are, mwingine atafurahi na kusema she brings money home so i let her off the hook.
you are one of few people who have articulative language, your ideas are very well presanted.
kuhusu nurses na teachers ooh hata mimi i can at least say wana faa
 
Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
Ushaolewa Dada nijisogeze?
 
Back
Top Bottom