Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.
Kazi za serikali Bwana ndio Maana hatupati maendeleo yaani huyo Ijumaa na jumatatu automatically hakuna kazinanafanya🤣🤣
 
Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorudi hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu wewe utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.
Ajiandae kwa madeni yasiyolipika🤣🤣
 
mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu, email na location kabisa yeye anapoishi. Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile
Si mlisema nyie hamtaki kuoa golikipa? Hizo ndio changamoto zake.

Muda si mrefu anaenda kuwa single Maza and she is ready for that, ndio Maana anajiandaa kabisa kukutema.
 
Shikilia hii📌
1787072464375.jpg
 
Habari wakuu,

Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.

Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye. Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.

Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorudi hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu wewe utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.

Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu, email na location kabisa yeye anapoishi. Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile

Sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Una umri gani
 
Kijana acha ujinga... Achana na huyo mwanamke... Huyo beki3 ndiyo mkeo halali... Mtie mimba ishi naye vzuri... Huyo mwingine mwambie asirudi tena kwako...
Mwanamke hatakiwi hata kidogo kukuendesha
 
Back
Top Bottom