Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,876
- 11,555
Comments nyingi za wadau humu zinaonesha namna gani ndoa zao zilivyo taabani kwasababu mleta mada amesema wazi kuwa mke wake hamshirikishi kwa mambo muhimu ya mustakabali wa maisha yao lakini wadau wanasema hawaoni kosa.
Hii ni tafsiri kwamba wanaume wengi humu wanapitia hali hii ya mke kujiamulia mambo na mwanaume anabaki kama zwazwa tu.
Ukiona mwanamke hakushirikishi mambo ya msingi probably amepata mwingine anayemuamini na kumshirikisha mambo yake.