Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

House girl unakaa nae wewe? Mke wako hajitambui. Unampa fisi akuuzie bucha?
Yah nakaa nae mm coz tuna mtoto so napoenda kazin housegirl anabaki na mtoto tuliamua iwe hivi kwa sababu mazingira ya kule anakofanya kazi mwenzangu siyo mazuri
 
Women are very clever, Mwanamke ameshamuona Mwanaume anamcheleweaha kwenye maendeleo.

Na kawaida wanawake hawakai na Wanaume maboya, wakulia lia
Sijamkataza kufanya biashara hiyo biashara anayofanya we unailewa vizuri biashara ya wale watu ambao wana kuuzia madawa then ww utafute wateja uwauzie sasa hiyo nayo biashara ya kutamba nayo
 
Back
Top Bottom