Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

Tatizo biashara aliyoamua kuifanya na kufanya mambo bila kunishirikisha
Kabla ya kumuuliza. Je Umefikiria kwanini ameamua kufanya hiyo biashara bila kukushirikisha?.

Sisi wanaume kuna Risk huwa tunafanya bila hata kushirikisha wanawake, kwasababu unajua ukimwambia atakataa na kupiga kelele. Ila sasa ushaamua kuifanya coz ikifanikiwa unapata faida.

Sasa. Igeuze upande wake.
Waliomuaribu ni hao wanao mcoach. Hapo humwambii kitu kuhusu hiyo biashara.
Ari aliyonayo saaahivi hata ukisema mtengane, ataenda kuwahoji Macoach wake. Na macoach watamwambia mume wako hataki uwe Millionea. Hebu muache siku ukiwa Millionea mtarudiana.
 
Mkuu
Naona unatafuta sababu ya kujimilikisha beki tatu kimasikhara.😄
N.B.Tafuta na uifanyie kazi sababu ya mkeo kutokukusikiliza kwanza,halafu mengine yafuate.
 
  • Thanks
Reactions: ---
Kwanza tuliza Mihemuko na jazba.
Yaan umuache Mke kisa ameanzisha biashara na kuweka namba yake public mitandaoni?.

Hapana sio sawa.

Hapa kuna mawili.
Moja, Unajua hizo Biashara za pyramid scheme huwa kuna wataalamu kweli kweli wa kuongea na kuconviece watu . Wenyewe wanawaita Coach.
Ni kama vile Wale Apostle wa Makanisa ya Kiroho.
Kwahiyo kwa sababu waauwezo mkubwa wa ushawishi , Wakimpata mtu na kumuimbisha wanaamsha Ari ya mtu huyo kwa kiwango cha juu.

kwahiyo wamemkamata mke wako..
Na tena watakuwa wamemuambia kama unaona mume wako ukimwambia atakataa. Ww anzisha alafu ukiwa Millionea Mume wako ataona umefanya jambo la maana.

Na ndio sababu hajakuambia.
Kwasababu alishakusoma na kuona ungekataa. Sasa kwasababu Ari iko juu anafanya kila linalowezekana ili afanikiwe kwenye hiyo biashara. Na ndio maana amefungua akaunti mitandaoni.

Mke wako amelewa na kutamani mafanikio kama ilivyo kwa mwanamke mlokole na wokovu.

Ila uzuri kwa upande wako ni kuwa. Haitadumu hata mwaka mmoja. Atachoka na kuacha.

Pili, kwasababu sasa ushajua kwanini hajakuambia, ww muache. 95% ya watu niliokuwa nawajua kufanya hizo biashara wamefeli, ila kuna kitu wamejifunza. Kuwa biashara sio lelemama.
Kwahiyo ni Shule anapitia.
Muache na wala usionyeshe kuchukia, ili siku akichoka na kufeli asiseme ww umemkwamisha.
Sawa huu ushauri wako naufanyia kazi nashukuru sana ni kweli bora ionekane kashindwa yeye
 
Kabla ya kumuuliza. Je Umefikiria kwanini ameamua kufanya hiyo biashara bila kukushirikisha?.

Sisi wanaume kuna Risk huwa tunafanya bila hata kushirikisha wanawake, kwasababu unajua ukimwambia atakataa na kupiga kelele. Ila sasa ushaamua kuifanya coz ikifanikiwa unapata faida.

Sasa. Igeuze upande wake.
Waliomuaribu ni hao wanao mcoach. Hapo humwambii kitu kuhusu hiyo biashara.
Ari aliyonayo saaahivi hata ukisema mtengane, ataenda kuwahoji Macoach wake. Na macoach watamwambia mume wako hataki uwe Millionea. Hebu muache siku ukiwa Millionea mtarudiana.
Kweli kabisa ulichosema shida yangu mm ni kuweka no yake ya simu facebook na location kabisa
 
1)Mke na mume wakianza kuishi umbali unaowalazimu kufunga safari kufuatana ni tatizo......

2)Ukiona mkeo analeta malumbano kwenye ambayo mlitakiwa mueleweshane hiyo big red flag.....

3)Ukiona mkeo anaanza kukuweka kando hata kwenye yale yanayoonekana ni madogo madogo tu hiyo ni red flag........
 
Mke wako kafanya kosa gani? Sijakuelewa mkuu. Biashara ya mtandao, kuwa na acc mitandao ya kijamii au kumlipa mfanyakazi wenu?
Hata mimi sijaona kosa hapo la kumfanya awaze ndoa kuvunjika. Hayo ni masuala ya kawaida kabisaa ya kuzungumza. Labda kosa ninaloliona hapo ni mama kuwajibika kumlipa dada wa kazi wakati kkmsingi ni jukumu lako kama baba kutunza familia.
 
Habari wakuu,

Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.

Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye. Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.

Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorudi hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu wewe utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.

Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu, email na location kabisa yeye anapoishi. Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile

Sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Ok sasa nisikilize kwa makini,kwanza mimi ni mzoefu wa ndoa,nina wake 2 na moja anaishi marekani na mwingine yupo tanzania.Jambo la kwanza ambalo ni muhimu kuliko yote ni utulivu baina yenu na kuongea mambo yenu bila kutiliana mashaka.
Pia ni lazima baina yenu kujenga imani muaminiane.Mkishafanya hivyo mta solve matatizo yenu
 
Mfungulie tu biashara nyingine ataacha hiyo usio itaka.

Mkeo ni big brain kuliko wewe.
 
Hata mimi sijaona kosa hapo la kumfanya awaze ndoa kuvunjika. Hayo ni masuala ya kawaida kabisaa ya kuzungumza. Labda kosa ninaloliona hapo ni mama kuwajibika kumlipa dada wa kazi wakati kkmsingi ni jukumu lako kama baba kutunza familia.
Hata kumlipa dada wa kazi si Kosa mkuu maana mke kaamua naye kufanya kazi badala ya kuwepo nyumbani kushughulika na watoto, as long ni utaratibu wamekubaliana it's ok.
 
Sioni kosa lolote,huyo ni saleswoman hasa,kuweka namba za simu popote kama unafanya biashara ni Jambo la kueleweka Kwa sisi tunaojua mauzo ya biashara ni Nini, wanasema before you sale your product,sale yourself!
 
Ok sasa nisikilize kwa makini,kwanza mimi ni mzoefu wa ndoa,nina wake 2 na moja anaishi marekani na mwingine yupo tanzania.Jambo la kwanza ambalo ni muhimu kuliko yote ni utulivu baina yenu na kuongea mambo yenu bila kutiliana mashaka.
Pia ni lazima baina yenu kujenga imani muaminiane.Mkishafanya hivyo mta solve matatizo yenu
Asante sana mkuu
 
Hata mimi sijaona kosa hapo la kumfanya awaze ndoa kuvunjika. Hayo ni masuala ya kawaida kabisaa ya kuzungumza. Labda kosa ninaloliona hapo ni mama kuwajibika kumlipa dada wa kazi wakati kkmsingi ni jukumu lako kama baba kutunza familia.
Ahaaa si sawa dada wa kazi nimlipe mimi majukumu yake si anafanya dada iweje nimlipe mimi
 
Yeye anamlipa Dada wa kazi, na ameajiriwa, wewe unafanya kazi gani? Namaanisha mchango wako kwenye familia ni upi?
 
Habari wakuu,

Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.

Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye. Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.

Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorudi hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu wewe utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.

Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu, email na location kabisa yeye anapoishi. Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile

Sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Mbona sijaona kosa hapo hivyo vi biashara vyake vya mtandao vya kumpa vijisent vinakutoa roho au kuna mambo mengine nje ya hili, utaacha wangapi? Kama vipi fanya mpango mkae pamoja, kama huwezi ndoa acha kulazimisha huwe kama sisi wazee wa stress free.
 
Wengi hapa wanamuuliza mleta mada kosa la mkewe ni lipi na of course alivyoandika mtu hawezi akaliona kosa la mkewe.

Vijana mjitambue kabla hamjachukuana unapaswa ujue unataka mke kwa ajili ya kukutunzia wanao nyumbani huku wewe ukiwa main family provider au unataka mke wa kukusaidia maisha?ndoa na mke mfanyakazi haijawahi kuwa nyepesi na kelele zote hizi ni kwa sababu hamkai chini mkachambua vizuri haya mambo.
 
Sawa
 
Nashukuru kwa kunielewa mkuu
 
Back
Top Bottom