Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

Habari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Kunywa Maji Mengi
Alafu kagua Simu yake katika Wakati asio tarajia

Tengeneza kosa alafu mpige mkwala mzito ukiwa serious Sana usilegee Hata Kidogo

Mtishie kumrudisha kwao akionesha jeuri jua ana Wanaume Wengine na ana Amani nao,

Akinyenyekea mpe vigezo, Mwambie
Kuna makosa ukinifanyia sitakusamehe Kwa namna yeyote Cheating.
 
Usimuache sababu sisi tuliacha maana utakuja kumlilia, sisi tuliacha sababu tuliamua na tulichoka!

Wewe Bado, haya unayoongea sio sababu ya kuacha mke Kabiaa, subiri kama sababu itatokea
 
Kunywa Maji Mengi
Alafu kagua Simu yake katika Wakati asio tarajia

Tengeneza kosa alafu mpige mkwala mzito ukiwa serious Sana usilegee Hata Kidogo

Mtishie kumrudisha kwao akionesha jeuri jua ana Wanaume Wengine na ana Amani nao,

Akinyenyekea mpe vigezo, Mwambie
Kuna makosa ukinifanyia sitakusamehe Kwa namna yeyote Cheating.
Sawa
 
  • Thanks
Reactions: ---
Habari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Uliwahi sana kuoa kabla hujatahiriwa bila ganzi. Mke sio kama nguo uvue hii uvae Ile simply. Anyway" Marriage is not for everyone."
 
Hivi ukiowa ndiyo umfanye mwenzako km gari wewe dere kila ukitaka wewe ndiyo linavyoenda.

Basi ndoa zitakuwa ngumu sana kwa mtindo huo.
Huna sbb ya kumucha huyo dada labda tuu umemchoka. Na ukijaribu kuharras tuu hata kuja teena hizo trip za w-end shauri yako.
 
Nimekupata mkuu
Be a Man, lazima kuna sehemu ulichemka kumtengeneza awe unavyotaka, lakini pia wanawake wengi kwenye ndoa wanahicho kijitabia kiasili kujiamlia mambo bila ruhusa hasa uchumi wanahisi ni jambo lao binafsi.
Pili hiyo biashara anayofanya hao jamaa huwa wanaushawishi mkubwa sana, pengine kalishwa sumu ya kutosha tu Hadi anakuona wewe upo analog au usingemkubalia angekushirikisha.
Tatu, hongera kwa kupata mke ambaye angalau anaspiriti ya kujiongeza /ujasiliamali. Wengine wanateseka na wake zao wanakula mitaji Kila siku na biashara zinawashinda /hawajali
 
Nadhani tatizo kubwa hapa siyo tu hiyo biashara ya mtandaoni, bali mawasiliano na uaminifu ndani ya ndoa.

Kufanya jambo bila kumshirikisha mwenza kunaweza kuleta hisia za kupuuzwa, lakini pia ni muhimu kutofautisha kati ya jambo ambalo linahitaji makubaliano ya wanandoa na jambo ambalo mtu ana haki ya kulifanya binafsi.

Badala ya kuanza na uamuzi wa kumuacha, jaribu kwanza kukaa naye chini katika mazingira ya utulivu. Mwambie kinachokuumiza siyo kwamba ana biashara au anatumia mitandao, bali ni kwamba unahisi maamuzi muhimu yanafanyika bila wewe kushirikishwa.

Pia, usitumie mama yake au ndugu zake kila mara kama njia ya kutatua migogoro yenu. Kuna mambo ya ndoa yanahitaji kwanza mazungumzo ya watu wawili, na kama mmeshindwa kuyatatua, mnaweza kumhusisha mshauri wa ndoa au mtu mzima mnayemheshimu wote.

Na kuhusu kumuacha, usifanye uamuzi mkubwa ukiwa umejaa hasira na dharau. Talaka haiwezi kuwa suluhisho la kila kutokubaliana. Kwanza tafuteni kujua kama bado kuna heshima, utayari wa kusikilizana na nia ya kurekebisha mambo kutoka pande zote mbili.

Ndoa yenye afya siyo ile ambayo mmoja anakataza na mwingine anatii kila kitu. Ni ile ambayo wawili wanaweza kuzungumza, kuelewana, kuweka mipaka na kufanya maamuzi bila kuogopana.
 
Habari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Nashindwa kualewa!! nashindwa kualewa!!
 
Be a Man, lazima kuna sehemu ulichemka kumtengeneza awe unavyotaka, lakini pia wanawake wengi kwenye ndoa wanahicho kijitabia kiasili kujiamlia mambo bila ruhusa hasa uchumi wanahisi ni jambo lao binafsi.
Pili hiyo biashara anayofanya hao jamaa huwa wanaushawishi mkubwa sana, pengine kalishwa sumu ya kutosha tu Hadi anakuona wewe upo analog au usingemkubalia angekushirikisha.
Tatu, hongera kwa kupata mke ambaye angalau anaspiriti ya kujiongeza /ujasiliamali. Wengine wanateseka na wake zao wanakula mitaji Kila siku na biashara zinawashinda /hawajali
Sawa nashukuru
 
  • Thanks
Reactions: ---
Hivi ukiowa ndiyo umfanye mwenzako km gari wewe dere kila ukitaka wewe ndiyo linavyoenda.

Basi ndoa zitakuwa ngumu sana kwa mtindo huo.
Huna sbb ya kumucha huyo dada labda tuu umemchoka. Na ukijaribu kuharras tuu hata kuja teena hizo trip za w-end shauri yako.
Hapana sijamchoka nimekuwa nae muda mrefu sana
 
Wachangia wanauliza kosa nini?
Ni kwamba wametafuta kosa kupitia maelezo na matendo aliyofanya hakuna kosa.

Shida ipo kwako,
Wewe bado hujakua una waza kitoto sana,inaonekana ni mwathirika pia wa story za vijiweni.
Ndugu kwa sasa ww ni mtoto wa kiume sio mwanaume.
Siku ukifikia umri wa kuwa mwanaume uje ukumbuke thread yako hii.
Utajishangaa.
Mwanamke anavumilia ujinga wako mwingi sana ni vile hawezi kukuambia yote ,
Kwenye ndoa mwanamke pia anaweza akawa na upeo mkubwa kuzidi mwanaume,Ndio ilivyo ndoa yako.
 
Back
Top Bottom