Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,548
- 44,314
Daah aisee ni mara mia kimoko chali au kwa kudonoa donoa tu kuliko kutoduu kabisa.
Pole sana dada, je kwa muda wote huo ulishawahi kuona amesimamisha?? Eidha asubuhi anavoamka au mda wowote tu ngoma ikawa imesimama??
Na vipi yeye huwa anashiriki kwenye hayo maombi na hivyo vikao ndo kakususia yeye uhangaike na tatizo lake??