cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Dah usicheke my ooh Hali sikuhizi Tete sana wallah




yaan mie nawaza na kuwazua sipati jibu.Dah usicheke my ooh Hali sikuhizi Tete sana wallah




yaan mie nawaza na kuwazua sipati jibu.Hapo kwenye madhaifu ana madhaifu ganiNshauliza sana tena kwa unyenyekevu, wala sjawah kushout, hata kuna mda akilewa ananambia we mwanamke ubarikiwe pamoja na madhaifu yang sjawah ona ukinisema vibaya
Sasa hapo kuna ndoa tena unadhan?Aahh huyo ashaoa![]()




DuuuhKuna familia Zina visasi sana,
Jamaa mmoja alienda kujitambulisha kwa watu (nilimsindikiza kabisa), lipa mahali na kila kitu kikakaa sawa.
Baadae jamaa akapata mwanamke mwngine,
Akaenda kulipa mahali na kufunga ndoa na uyu mpya.
Kosa alilofanya Ni kwenda kupasha kiporo na ex wake uyo wa zamani, sijui aliweka Nini kule.
Baada ya hapo kila akienda Kukutana na mkewe ikashindikana (for 3 years)
Wazee wa Mila walisuluhisha ikashindikana,
Suluhisho lilikua ni jamaa kuoa wote wawili.
Of coz jamaa kiuchumi alkua vizur, japokua kidini walimtenga.
Ila baada ya kuwaoa wote wawili,
Tatizo likaisha moja kwa Moja mpk leo hii na anao watoto 3 (wawili bi mkubwa, mmoja bi mdogo).

PossibleIko hivi,kuna uwezekano huyo alikuwa na mtu kabla yako,na akaamua kumuacha kwa ajili yako,sasa yule alieachwa kuna uwezekano kamuendea kwa waganga wamemfunga,na hili kalifanya baada ya kuona posa imetolewa akajua sasa ndio nimeachwa mazima.Msaada mkubwa ni kumpeleka kwenye maombi,kama yuko tayari ili aondolewe hivyo vifungo.Inawezekana kabisa yeye mwenyewe anajua kilichotokea ila anashindwa kukueleza story nzima kwakuwa alikuficha mwanzoni....

Ndo inapotakiwa watu wajue hayo madhaifu, mie nilichowaza, huyu mwanaume ana madhaifu binafsi na ya siri sana ambayo hapaswi yeyote kujua, maan km n magonjwa, msongo wa mawazo, au matatizo mengine ya kiafya, siyo ya kuficha.Hapo kwenye madhaifu ana madhaifu gani
Sasa we si ufunguke kila kitu?... Wewe story yako umeificha ficha sasa sisi tutajuajeNdugu walikuwa wananismanga sizai mara tasa mateso niliyopitia najua mm ndo chanzo cha kumkimbia kwenda kuish mwenyew akanywa sumu ndugu wakataka kuniweka ndani kua m sabab ya ndugu yao kujiua ikabid kikaliwe kikao nikayaxungumza hayo, kunawatu mnakimbilia kuhukum bila kujua mtu anapitia nn bora mkaage kimya kama mmekosa la kusema

Nimesoma mada kiukweli mimi binafsi siwezi,, miaka 2 bila bila Kwanza mtoa mada tumjengee sanamu lake kwa uvumilivi huu,,, kabisa dume uko nalo pembeni lakinj halina maajabu,,yeleuwiiiiii inahitaji roho mtakatifuHaha..!
Mimi na Noelia hatuwezi hili jamani, Watu tunataka show iwe show kweli, jizooooz..!!
Wewe achana na mambo ya chai funguka kila kituMngekuwa mnajua mnaniumiza kusema nimewapa chai bas tu Mungu anitie nguvu
Kwamba anamuonea huruma asije kumpa AIDS uwii...kwa jinsi wanaume wana roho mbaya, akipata ngwengwe anasambazia hata maex woteRudini mkapime afya zenu huenda akawa anakunusuru na umezaji vidonge kila siku hivyo usimlazimishe hiyo kitu ana mengi kayaficha moyoni

Mpe mbinu😂😂😂Umeshindwa nini kumbaka huyo Mumeo
Nimesoma mada kiukweli mimi binafsi siwezi,, miaka 2 bila bila Kwanza mtoa mada tumjengee sanamu lake kwa uvumilivi huu,,, kabisa dume uko nalo pembeni lakinj halina maajabu,,yeleuwiiiiii inahitaji roho mtakatifu








Jamaa ni handsome ana sura nzuri yani cute boy ?Ndugu walikuwa wananismanga sizai mara tasa mateso niliyopitia najua mm ndo chanzo cha kumkimbia kwenda kuish mwenyew akanywa sumu ndugu wakataka kuniweka ndani kua m sabab ya ndugu yao kujiua ikabid kikaliwe kikao nikayaxungumza hayo, kunawatu mnakimbilia kuhukum bila kujua mtu anapitia nn bora mkaage kimya kama mmekosa la kusema