Sio ushaur mzr kumpa mwenzio wa namna hiiWewe chepuka maisha yenyewe mafupi au mvizie akilala umbake, then uchepuke upate mtoto
Na sikuhizi ni heri ujue mumeo anachepuka na mwanamke mwenzako ina uafadhali siku hizi mwanaume anaweza kuwa mke mwenzako kabisaPole na matatizo
Kutokana na Ndoa ni kitu kikubwa anza kufanya uchunguzi in details unaweza kuta umeolewa na mke wa mtu.
Dunia imebadilika
Anawaza macho atayaweka wapi? Waja watamuonaje aliolewa juzi tuu leo ameachika basi anaona tafraniLife is too short to drink bad wine.
I always advocate for marriage, I love seeing people married and happy....
Ila in your case shirikisha wazazi, or church... if it doesnt work out find a way out.
Marriage is beautiful, but there is nothing more beautiful than looking into the eyes of a little human you gave birth to.
Kwa Nini usiwaze kuwa ni mwanamume kaingilia mahusiano ya watu??Possible
Huenda Kuna Nguvu nyuma ya hili, na jamaa anaficha kusema.
Usikute binti uyu kaingilia mahusiano ya watu.
Sababu uliztoa hazihusiani na mazingira halisi alotueleza mtoa mada,Msongo wa mawazo, Sukari, kumchoka mwenzio, kutokufurahishwa na mwenzio hizi Ndio sababu msingi. Ukikua utazifikia
Mzee fursa hiyo hapo. miaka miwili bila sex siasharudi ubikira kabisa huyu?Kwan mpaka mlioana ,hamkujaribisha mitambo???.
Akitaka mtoto so bad that it hurts hatawajali hao.Anawaza macho atayaweka wapi? Waja watamuonaje aliolewa juzi tuu leo ameachika basi anaona tafrani
Kwamba utajiri wa mashart?Unaweza kukuta jamaa karogwa kaambiwa siku akimtia mkewe ndio mwisho wake.....
ndio maana anakwepa kwepa!! kama fisiemu wanavyokwepesha swala la katiba mpya
I dated him for 4 years before marriage , and we used to have sex normally with no doubt tatizo lilianza after posa,
InawezekanaKwamba utajiri wa mashart?
Huu ufilisti na upadre umeuanza lini? Wewe si ndiyo huwa unapenda hayo mambo ya kulana kimasihara waache watu wakulane kimasihara wewe!Ingekua busara uMshauri hapa kwa manufaa ya wengi
Huko pm bila shaka huna Nia njema nae, unataka umkule kimasihala kisa ktu kaanika shida zake hapa.
Tuweni waungwana![]()
Yote yanawezekana ila kwa wanaume kuweka tego km hizo Ni Mara chache sanaKwa Nini usiwaze kuwa ni mwanamume kaingilia mahusiano ya watu??
Leo Niko na roho mtakatifu,Huu ufilisti na upadre umeuanza lini? Wewe si ndiyo huwa unapenda hayo mambo ya kulana kimasihara waache watu wakulane kimasihara wewe!


Wanasemaga sex sio muhimu sana hawa! Ila moto ukiwaka huwa wanatafuta pa kutokea kudadadeq!😅Stress mwaka mzima??
Nendeni hospitali mkapime