Ndoa inataka kunishinda

Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Saikolojia eeh, usiongee hayo mambo ishanikutaga hio hali! Dem nahisi alikuwa na jini mahaba!

Alfajiri ya saa 11 sina tatizo lolote yani niko fiti mashine iko hewani kwa kasi ya 5G. Unavuta mtoto anagoma goma anaamka ile unataka uweke ukuni unasinzia kabisa kama mlenda yani.

Mtoto akiamka kujianda kwenda Job tu alikuwa muajiriwa basi mjuba mambo yanajipa tu! Ile hali haikua ya kawaida ila ukitest kwengine show kali. Nikaona kweli uchawi upo na yule binti hatukuwa na maelewano tena tuliishia kumwagana tu!
pole mzee!!
 
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Dada unaelewa maana ya ndoa au unadhani ni makaratasi tu?
Mdogo wangu hapo huna ndoa ila una ndoano na umenasa, kaa tayari kuliwa tu na wengine
 
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Toka mwaka jana August ulikua unafanya nini kuondoa mihemko ya mwili?

Lakini la msingi tafuta suluhu kwa pande zote mbili za kifamilia kujua nini cha kumsaidia na kama walidanganya yeye hafanyi chochote basi kimbia hapo uje huku Kanaani
 
Tulikua tuna do vizur wala skuwah his utofaut hata kidogo, baada ya posa akastop na skuuliza nlihis anasubir swala la ndoa lipite kwanza lakin hata baada ya ndoa nkaona kimya ndo nkaanza kumuhoji ili nitambue shida nn majibu hakuna zaid ya kusema ana stress za madeni
Kwahiyo hata siku mmefunga ndoa hakukubandua? Basi hiyo ndoa ni batili achika mapema
 
Hilo linawezekana kabisa,
Mwanaume akishaanza kuliwa kisamvu Cha kopo, kule chini hakusisimki kabisa.
Acha kufananishia chakula mboga kisamvu na mambo ya kijinga, naomba uwaambie na wenzako kisamvu kufanisha na kinyesi mkome.
Kwani mavi yote ni kama kisamvu, mbona mengine ni ya njano?
Yaani mti wa mhogo, tunapata mihogo choma safi na mboga yake kisamvu hadi ikulu kipo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom