miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,053
Kwahichi ulicho jibu hii story yako ni one side of the story tungesikia na other side ya story watu humu wangekupa ushauri mzuri wa kusaidia na kukujenga zaidi, maana haiwezekani mtu anywe sumu mwenyewe then usingiziwe wewe kuwa ulitaka kumuua, pia watu kuitwa tasa mjitakia mngeenda hospital mpime wote na hata afya ya huyo mwanaume ijulikane maana huwezi itwa tasa huku hujawahi kukutana na mumeo maana aliyepata huo uwezo ni bikra maria.Kwahiyo mm kusemwa tasa sizai na kutaka kufunguliwa kesi ya mauaji unaona hayana uzito bali ya yy kusemwa hadharani? Can imagine wazaz wangu wanapokea taarifa nimefunguliwa kesi ya mauaji, hapo bado jamii inaninyooshea kidole nimemkimbia mume ksa sizai, ila yy astiriwe? Hiv umefikiria mara mbili kabla ya kumdefend muhusika?
Nachangamsha genge mrombo wanguShirima nitakuuaaa. Wewe wa kwako umemkaza? Nitakuua mbe
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Dah kwa kila jambo huwa Kuna kitu kinatokea na huwa sio bure aisee ni vyema ikifika hyo hatua watu mzungumze mubashara kabisa kutatua hyo kero, pia hata uchawi waweza husikaSaikolojia eeh, usiongee hayo mambo ishanikutaga hio hali! Dem nahisi alikuwa na jini mahaba!
Alfajiri ya saa 11 sina tatizo lolote yani niko fiti mashine iko hewani kwa kasi ya 5G. Unavuta mtoto anagoma goma anaamka ile unataka uweke ukuni unasinzia kabisa kama mlenda yani.
Mtoto akiamka kujianda kwenda Job tu alikuwa muajiriwa basi mjuba mambo yanajipa tu! Ile hali haikua ya kawaida ila ukitest kwengine show kali. Nikaona kweli uchawi upo na yule binti hatukuwa na maelewano tena tuliishia kumwagana tu!



Ukikuta mwenzio mkali bila sababu unakuwa huna jinsi papuchi ya ratiba ni ngumu sana kwa baharia bora kila mtu ajikate😂Dah kwa kila jambo huwa Kuna kitu kinatokea na huwa sio bure aisee ni vyema ikifika hyo hatua watu mzungumze mubashara kabisa kutatua hyo kero, pia hata uchawi waweza husika
Yes ilisaidia hata kulinda undugu na usaliti kwa watoto wa mbali Sasa hivi tunaiga usasa ndio Matokeo yake haya mahusiano hayadumu ni machungu tu kwa kwenda mbele, na ndio maana zamani wagumba walijulikana kuwa ni wanawake baada ya kujaribu tofauti tofauti, na wanawake walibebeshwa na kaka, au dingilai mwanaume hujui hataIla wazee zamani walikuwa wahuni kweli yani anachaguliwa mdogo anaambiwa msaidie kaka yako hapo halafu mikausho mikalikaka anakuwa hajui chochote pengine kasafiri labda.
Sema hii ilisaidia sana yani mtu na shemeji full respect. Au dingi anapiga show mwenyewe


ila wazee banaHata kwa mwanaume asiyegusa mkewe lazima mahusiano yafeUkikuta mwenzio mkali bila sababu unakuwa huna jinsi papuchi ya ratiba ni ngumu sana kwa baharia bora kila mtu ajikate![]()
Sahizi unatafta ex wako unampa uroda kisha unamubambikia mr. FredyYes ilisaidia hata kulinda undugu na usaliti kwa watoto wa mbali Sasa hivi tunaiga usasa ndio Matokeo yake haya mahusiano hayadumu ni machungu tu kwa kwenda mbele, na ndio maana zamani wagumba walijulikana kuwa ni wanawake baada ya kujaribu tofauti tofauti, na wanawake walibebeshwa na kaka, au dingilai mwanaume hujui hataila wazee bana
Nyie si mnasemaga haina shida sisi ndio waroho wa Kei😂Hata kwa mwanaume asiyegusa mkewe lazima mahusiano yafe
Jamaa anazingua...DK mwaka nko apaOya babu mbona unaikimbiza cashout mwambakauka bwana mtoto asaidiwe
Acha umbea we mwanamke...hujui kwamba huyo miss Pablo ndo babe wangu?shirima kakimbiwa na mke huyo
Mahari iko wapi?Acha umbea we mwanamke...hujui kwamba huyo miss Pablo ndo babe wangu?
Unataka tuweke wazi kila kitu apa?
Wewe mahari inabidi iwe milion kumi ndio upate mke tenaAcha umbea we mwanamke...hujui kwamba huyo miss Pablo ndo babe wangu?
Ina shida kotekote labda ambaye alikuwaga tu sio mhuni kabisa, ila kwa waliozoea kina juma, mara athumani dhubutu yakoNyie si mnasemaga haina shida sisi ndio waroho wa Kei![]()
Huwaga nikikaa nikaskiaga zile story zenu mi naweza kukaa hata mwaka nasema hiii!!!Ina shida kotekote labda ambaye alikuwaga tu sio mhuni kabisa, ila kwa waliozoea kina juma, mara athumani dhubutu yako