Ndoa inataka kunishinda

Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Itakua hujanielewa tatizo limeanza baada ya kunitolea posa ila tulikua tupo vizur na tulikua tukisex normal, sjaelewa coment yako
Ila uchawi upo. Isije ikawa X wako au X wake kaenda kwa sangoma kurekebisha mitambo ili kuwakomesha
 
Ndo inapotakiwa watu wajue hayo madhaifu, mie nilichowaza, huyu mwanaume ana madhaifu binafsi na ya siri sana ambayo hapaswi yeyote kujua, maan km n magonjwa, msongo wa mawazo, au matatizo mengine ya kiafya, siyo ya kuficha.

Huyu dada amchunguze vizuri mumewe, atagundua kitu tyuuh.
Hata huyu mleta uzi anajua kila kitu sema anataka sympathy hapa...

Ukweli wote anao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom