Ndoa inataka kunishinda

Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Teh teh africa bana! Hapa angekuwa mwanaume ndiyo anapitia hayo ungesikia chepuka tu au piga chini oa mwingine ila kwa vile ni mwanamke anaambiwa amvumilie tu mume wake!
Sasa sindio atafte ufumbuzi wa tatizo hilo au nawewe nikikuoa utachepuka😁
 
Teh teh africa bana! Hapa angekuwa mwanaume ndiyo anapitia hayo ungesikia chepuka tu au piga chini oa mwingine ila kwa vile ni mwanamke anaambiwa amvumilie tu mume wake!
Watu wanatia unaa tu humu

Hakuna mwanaume wa kuvumilia hizo two years aisee!

Kama hakukuwa na sex baada ya ndoa kufungwa basi ndoa haikua consummated/ actualized na yaweza tenguliwa kanisani.
 
Watu wanatia unaa tu humu

Hakuna mwanaume wa kuvumilia hizo two years aisee!

Kama hakukuwa na sex baada ya ndoa kufungwa basi ndoa haikua consummated/ actualized na yaweza tenguliwa kanisani.
Kigezo kinaruhusu kabisa tena ni miezi 6 tu! Kama hamna show kila mtu arudi kwa mzazi wake aliomzaa!
 
Huu ufilisti na upadre umeuanza lini? Wewe si ndiyo huwa unapenda hayo mambo ya kulana kimasihara waache watu wakulane kimasihara wewe!
😂😂😂Nilivyoona comments yake anawazibia wenzie nilicheka huku nilipo teh teh ibilisi kageuka Malaika
 
Teh teh africa bana! Hapa angekuwa mwanaume ndiyo anapitia hayo ungesikia chepuka tu au piga chini oa mwingine ila kwa vile ni mwanamke anaambiwa amvumilie tu mume wake!
Mataifa ya Wenzetu huwa wanakuja kujifunza Unafikiii kwetu
 
Mngekuwa mnajua mnaniumiza kusema nimewapa chai bas tu Mungu anitie nguvu
I'm sorry!

Kama ni ishu ya kweli basi wewe ni mwanamke mvumilivu kwelikweli.

Ndoa mlifungia kanisa lipi? Viongozi wenu wa kanisa wanasemaje?

Lastly wewe unatakaje sista? Mwenzako anasema umvumilie mpaka lini labda?
 
Tulikua tuna do vizur wala skuwah his utofaut hata kidogo, baada ya posa akastop na skuuliza nlihis anasubir swala la ndoa lipite kwanza lakin hata baada ya ndoa nkaona kimya ndo nkaanza kumuhoji ili nitambue shida nn majibu hakuna zaid ya kusema ana stress za madeni
Rudini mkapime afya zenu huenda akawa anakunusuru na umezaji vidonge kila siku hivyo usimlazimishe hiyo kitu ana mengi kayaficha moyoni
 
Saikolojia eeh, usiongee hayo mambo ishanikutaga hio hali! Dem nahisi alikuwa na jini mahaba!

Alfajiri ya saa 11 sina tatizo lolote yani niko fiti mashine iko hewani kwa kasi ya 5G. Unavuta mtoto anagoma goma anaamka ile unataka uweke ukuni unasinzia kabisa kama mlenda yani.

Mtoto akiamka kujianda kwenda Job tu alikuwa muajiriwa basi mjuba mambo yanajipa tu! Ile hali haikua ya kawaida ila ukitest kwengine show kali. Nikaona kweli uchawi upo na yule binti hatukuwa na maelewano tena tuliishia kumwagana tu!
Ahahahh Mzee kumbe ulipitia magumu hivi?

I'm pretty sure huyo binti Leo mkionana anakuona bonge la khanithi,Mzee wa show mbovu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom