Ndoa inataka kunishinda

Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Mnavoishi humo ndani dudu yake huwa unaichungulia hata kwa kuizoom tu?? Vipi mkilala humgusi gusi dudu ???vipi hata kwa mbali umeshaiona imesimama??
Nawaza hii kitu inawezekana kweli yaani kuna uchokozi fulani Mwanamke ukiamua babe achomoi lazima kupolekewa moto kuhusike😜
 
Tulikua tuna do vizur wala skuwah his utofaut hata kidogo, baada ya posa akastop na skuuliza nlihis anasubir swala la ndoa lipite kwanza lakin hata baada ya ndoa nkaona kimya ndo nkaanza kumuhoji ili nitambue shida nn majibu hakuna zaid ya kusema ana stress za madeni
Msaidie kulipa hayo madeni
 
Endapo uzalendo ukikushinda mm nipo tayari kukuhudumia kwa kukupa gemu safi la viwango vya 5G.
Mm ni mtu mzima mwenye nguvu na uzoefu mkubwa.
 
Hapo hakuna ndoa hata.imani inaruhusu kuachana so muone kiongozi wako wa Imani akushauri
 
Bila tendo sio ndoa. Ndio maana wakasema tendo la ndoa
 
Na mtoto wa pili itakuwa hivyo hivyo?
Sasa afanyeje sikuhizi usasa mtupu zamani huyo angeshapita na ndugu wa ukoo inabaki Siri tu ya wazee na sio kutangazana kuanzia kwa wachungaji, ndugu, na jinsi watu wambeya Koo mbili zinajua jamaa jogoo wake hapandi mtungi
 
Sasa afanyeje sikuhizi usasa mtupu zamani huyo angeshapita na ndugu wa ukoo inabaki Siri tu ya wazee na sio kutangazana kuanzia kwa wachungaji, ndugu, na jinsi watu wambeya Koo mbili zinajua jamaa jogoo wake hapandi mtungi
Ila wazee zamani walikuwa wahuni kweli yani anachaguliwa mdogo anaambiwa msaidie kaka yako hapo halafu mikausho mikali🤩 kaka anakuwa hajui chochote pengine kasafiri labda.

Sema hii ilisaidia sana yani mtu na shemeji full respect. Au dingi anapiga show mwenyewe
 
Itakua hujanielewa tatizo limeanza baada ya kunitolea posa ila tulikua tupo vizur na tulikua tukisex normal, sjaelewa coment yako
Pole sana dada! Hongera kwa kuwa mvumilivu japo ulikosea sana kuanza ngono kabla ya ndoa! Nadhani unapaswa kutubu na kutengeneza! Ukimtegemea Mungu anaweza kumponya mumeo na akarudi hali yake ya kawaida! Mengi ni mapepo!! Unaweza kuta kuna mwanamke alimuahidi kumuoa, akamtenda na kumtelekeza akakuoa wewe mwisho wa siku na yeye ametendwa! Mtegemee Mungu aliyekupa ndoa! Mlilie yeye! Ni yeye peke yake atakayekupa jibu la matatizo yako! Kaa na mumeo karibu na kwa upendo! Mfariji na kumuombea! Omba kwa bidii!! Dai haki yako kwa Mungu!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom