Ndoa imenizawadia kiharusi

Kama unampenda mtu mpende kama vile unakufa kesho. Haina haja ya kujifanya we ni gangster eti mguu mmoja ndani mwingine nje. Jitoe kadri unavyoweza.

Akianza upimbi kaa kushoto. Mlie bati kama vile haujawahi kumjua.
 
Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
 
Moja kati ya tafakuri bora sana kwa mwaka huu
 
 
Huu uzi nimeusoma sana nikatafakari sana hatma yangu binafsi na mahusiano nitakayoanzisha kama nikijaaliwa. Hakika Mungu tu ndio anatosha tu kutuvusha kwenye hivi vipengele vya changamoto..
 
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
 
Calm down mzee wangu.
Kwanza usitumie dawa yoyote.
Pili nenda kapime hospitali nyingine tofauti na hiyo, huku ukificha majibu ya mwanzo.
Hivyo vifaa(tools & equipment) vya mahospitalini vimetengenezwa na binadamu kama wewe, makosa ni mengi mno.
Love you pops, wewe ni mshindi💪🏾
 
Mkuu
Nilipigwa na stroke upande mmoja ulikata kabisa. Mdomo ulipinda, mkoni full kifuani, mguu wala siusikii. Nikiinua hatua najikuta nauburuza au hata kuanguka. Wheelchair ilikuwa ni msaada kwangu.

Mpaka sasa naweza kuandika ujue Mungu amenitendea muujiza wa karne
 
Moja kati ya tafakuri bora sana kwa mwaka huu
Nashukuru mkuu.
Sikutaka kufunguka sana kwa sababu bado ninawajibika kuhifadhi utu wake. Anaweza kupata perfect match wa maisha yake akaondokana na toxic mimi kwenye maisha yake.

Mara nyingi sisi wasimuliaji tumekuwa tukiplay victim kwa kuwa upande wa pili haujapata nafasi ya kusikilizwa hivyo naamini mimi sijawa chaguo lake pia.

Mungu ni Mwema wakati wote
 
ndoa ni kaburi nimesoma kwa uchungu sana hii statement yako pole sana mkuu
 
Matukio gani ulimpiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…