LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,621
Polee na Hongera.
Who knows what is next?
Who knows what is next?
Zimejaa kibao tena unaweza pata tamu na nzuri kuliko hata ya huyo anayekusumbua.Kujiendekeza ndio maana mnapata msongo. Hakuna silaha wala hakuna la maana yoyote kwani inapatikana kwa urahisi na muda wowote.
Acha kukuza vitu vya hovyo dogo.
Pole sana kiongozi.Mwenyezi MUNGU azidi kuimarisha afya yako.Baba nashukuru sana.
Ninaendelea vizuri sasa. Sijamtaliki mkamwana maana bado safari ya wajukuu zako na bado napigania afya ya mama.
Mungu ni mwema
Nimeisoma mara zaidi ya tatu hii tafakuri yako.Kila siku tunawaonya kuhusu ndoa hamuelewi,mnaishije na mtu hamjakuwa wote,mna interest tofauti, malezi tofauti,uelewa,imani,dini na viwango vya nyege tofauti? Above all ukioa lazima utombewe
Mkuu umeongea kiuchungu sana.Great Thinkers,
Kama heading inavyojieleza; mimi Msanii nimeoa na pia tumejaliwa watoto 2. Ninawapenda sana hawa watoto. Naamini ni zao la ndoa yetu.
Wengi wanaonifahamu, wanajua mapito ninayoyapitia kwenye hii ndoa. I tried so hard to humble myself na kuwa kiongozi wa familia kwa kutotumia misuli ya mwili dhidi ya matumizi ya akili kwenye hii ndoa.
Kwanza kabisa, naomba ku-declare my position kwamba, matendo au matukio ya mwanamke mmoja au mwanaume mmoja siyo justification ya tabia za jumla kwa wanawake ama wanaume wote.
Kikubwa ni kwamba nawaasa vijana wanaotaka kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, wajitahidi kutafuta wenza wanaoendana nao. Usisite kuachana na toxic relationship. Ni bora usieleweke na jamii lakini ukaelewa kile unachokifanya kwa manufaa ya nafsi yako. Bahati mbaya sana tumezitosa mila na tamaduni zetu tumezipiga chini kwa ujumla wake. Badala ya kuchagua desturi nzuri na kuachana nazo zile mbovu.
Ndoa yangu haipo katika good shape. Mitikisiko ninayokumbana nayo imenipatia stress na sasa ninaishi kwa Neema za Mungu baada ya kupigwa stroke (kiharusi). Bado ni mwanaume kamili lakini nimejirudi ktk abstaining lane kwa sababu kwa sasa nailinda sana nafsi yangu over tamaa za mwili. Mwaka wa nne sasa nimemuweka mbali shemeji na wifi yenu. Sijaachana naye lakini nina amani yupo mbali kwa sasa.
Niliamua kuwa mkimya kwa muda mrefu sana, Namshukuru binafsi rafiki yangu Dr. Mariposa kunichomoa mafichoni.
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Msanii wa JF
Mpokee wewe sisKwann usimpokee kijana wetu utazame namja ya kuyajenga nae?
Na bado Mungu atazidi kukutendea mambo chanya na mazuri zaidi.Mkuu
Nilipigwa na stroke upande mmoja ulikata kabisa. Mdomo ulipinda, mkoni full kifuani, mguu wala siusikii. Nikiinua hatua najikuta nauburuza au hata kuanguka. Wheelchair ilikuwa ni msaada kwangu.
Mpaka sasa naweza kuandika ujue Mungu amenitendea muujiza wa karne
Na ukiumwa,unaweza kosa wa kukutawaza.
Kua single ni raha, shida inakuja mtu ukizeeka.
umeongea vizuri sana. Mke ni rafiki tu.Pole nadhani ulikuwa na overexpectation ndoa unatakiwa uingie na Akili kubwa sana mguu nje ndani. Mkeo.siyo ndugu yako.ni rafiki tu anytime mnaeza.kukorofishana
Tehe tehe tehe tehe tehePole kwa uliyopitia,Mungu akujaalie afya yako irudi
Kataa ndoa point tatu mkononi
Mkuu, mkandamizaji ni mchungaji kabisa lakini alikandamiziwa mkeweNdoa nyingi zinanmisukosuko lately ila niluambie mimi yangu hiyo misukosuko nilishaikataa tangu mwanzo niliamini katika kumcha Mungu ukipata mwenza mcha Mungu mwenye hofu na Mungu umepata chombo chema na hakika mtabarikiwa especially mkianzia chini kabisa pamoja.
Ndoa yangu ni kama ya Peter Msechu, yani ukiangalia hile ndoa ni kama yangu huwa mimi huwa siruhusu misukosuko ikae na kudumu mimi huwa natatua jambo kabla jua halijazama,ndoa ukitaka iwe nzuri ikabidhi kwa Mungu utaokoa hasara nyingi sana
Mwanaume anapendeza akiwa muhuni hata kama ni kidogo tu. Sasa mwanaume awe amepooza tu, hana udikteta hata kidogo, hana circle ya wanawake wa kumpa wasiwasi kidogo wife. Hiyo ndoa si itakua bored.Upo sahihi.
Lakini sio wewe muhuni huna hofu ya mungu utafute mke mwenye hofu ya Mungu, ni kwenda kumtesa tu dada wa watu. Hofu ya Mungu muwe nayo wote wawili ndo mambo yataenda vizuri.
Here we go 😄Nimeisoma mara zaidi ya tatu hii tafakuri yako.
Aisee kweli ni ni ngumu.