Ndoa imenizawadia kiharusi

Ndoa imenizawadia kiharusi

Kua single ni raha, shida inakuja mtu ukizeeka.
Kuwa single sio raha mkuu, Binadamu sisi ni social being, tumeumbwa kuwa kwenye society na level ya chini kabisa ya society ni familia, na familia inaanza na mwenza. Hapo ndani lazima mama ipite pite bana ukiwa umerudi, ikufungulie geti n.k mkishindwana mnaachana atakuja mwingine, ila kukaa mwenyewe hapo ndani bila wa kuzungumza nae miezi na miezi hakuna raha yoyote.
 
Pole sana na unachoweza kuendelea kufanya ni hicho ulichoamua kufanya.

Ni muda wa kitambo kidogo umepitia na umeshavumilia na sasa ni wakati sahihi wa kuboresha maamuzi ya kuishi maisha yanayoendelea katika hali hiyo ya kigonjwa gonjwa japo yatakua ni maisha mazuri na yenye ubora wa hali ya juu.

Ni heri na bora sana kubaki mwenyewe kuliko kuendelea kuwa na mtu asiye sahihi.

Mwanaume hazeeki Maini na anaendelea kubaki kuwa bora katika umri wowote ule.

Kaa kwa kutulia, kwani Yajayo Yanafurahisha.
 
Before sijaoa nilikua na soulmate wangu mmoja hang out sana... spending sanaa..michezo ya DO or DARE..

Kuna siku nikampa deadline kua nataka kuoa akasema nimpe muda siku ilipo fika akasema still nimpe muda hapo Mimi pia upande wa pili nilikua na school mates wangu o-level nilimwacha darasa moja tulikua kwenye mahusiano.

Yule school mates wangu alinambia Mimi sieleweli anataka kuolewa so na kweli nilikua na mpoteza kimya kimya nikaenda toa mahari send-off na harusi zilipishana one week kilicho tokea yule SOUL MATE akarudi kwa nguvuuuuuuuu wakati nimeoa.

For sure Mimi nimeoa mtu anae nipenda zaidi ya Mimi navyo mpenda ni mwanamke alie ni shape kwenye vingi na alinijua tangu nikiwa kiranja o- level ni mfano wa mapenzi ya dhatii ambayo ni mpaka kifo aanze yeye au Mimi.

Sikuwa na kazi, pesa alikiwepo tupate kikubwa kidogo hicho hicho kilitutosha tunafichiana siri tuna saidiana tunashirikiana tunasaidiana nilipata ajari nikavunjika mguu sijiwezi chochote aliniogesha, nitawaza kama mwanae hapo hapo alikua mjamzito

Ushaur Oa mwanamke anae kupenda kama ulivyo usi oe matako, sura, pesa, au chochote materially Kuna mengi ya kuandika ngoja Kuna kazi niimalizie hapa
100%...Punda ni wa nyumbani..pundamilia tunakwenda kumuona porini alafu tunarudi nyumbani
 
Nomaaa 🔥🔥🔥
 
Pole sana Bro.

Ni makosa makubwa ulifanya kuwa humble kisa ndoa au Mwanamke mpumbavu. Au kisa watoto.

Wengi wanaotumia mbinu hii walipata matatizo na majanga makubwa kufikia kufa vifo visivyo vyao.

Hii itakuwa Case study Kwa vijana wajifunze. Kwa mwanaume heshima Yako ni muhimu kuliko Familia. Kwa sababu heshima yako ndio ulinzi wako na familia Yako.

Mungu akupe uponyaji urudi katika hali ya kawaida. Yale mambo ya demokrasia tunayoyapigania kwenye siasa huku Ndoani au kwenye familia hayatumiki. Ndoa au Familia Ili ikae sawa inapaswa kutumia mfumo wa Kifalme.
Naam katika ndoa lazima uwe kama Stalin au Putin kabisa 🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom