Ndoa imenizawadia kiharusi

Ndoa imenizawadia kiharusi

Kinachonifurahishaga humu wanaume wengi wanatuonaga wanawake WA huku ni Malaya,masingle Maza ,hatuna ndoa
Ila cha ajabu asilimia 80 wameoa wanawake wabovuu ndoa zao ziko chali zinapumulia oxygen
 
"Huyu sio baba yenu kawatelekeza,kishaomba uhamisho"

Japo hao watoto Bado wanaishi kwenye nyumba tuliyoijenga,nikinunua mahitaji anarudisha yalipotoka!!
Achana nae. Huyo mama ana shida sana.
Mimi licha ya mazonge yake ,ex-wife anafanya juu chini kuhakikisha nawasiliana na watoto. Akiona niko kimya hata week lazima apige simu "ongea na watoto". Lazima.
Au "mtoto anakaribia kuingia kwenye mock exams, naomba uongee nae kumuweka sawa kwenye Maths" mambo kama hayo.
Ya juzi anasema "mtoto birthday yake ni this weekend, ana masuala yale anataka kuongea na wewe" na hayo ni masuala ambayo yako ndani ya uwezo wake kabisa kuya solve.

So kwenye ishubya watoto she invests an effort. Maana soon after divorce alishaona uelekeo wangu, niliamua kukaa kimyaaaaaaaaaaaa"
 
Kinachonifurahishaga humu wanaume wengi wanatuonaga wanawake WA huku ni Malaya,masingle Maza ,hatuna ndoa
Ila cha ajabu asilimia 80 wameoa wanawake wabovuu ndoa zao ziko chali zinapumulia oxygen
Sasaa weww hii inakupa unafuu gani?
Stop comparing. Wanawake hao wabovu si ndio nyie wenyewe maana wa humu ndio hao hao wa mtaani, au wanatoka wapi boss??
 
Vijana wa sasa ,wote ,wakike na kiume hawajaandaliwa kwa ajili ya maisha ya ndoa nilijua..Huu ni ukweli mchungu ,sehemu za mafundisho ya dini zinaandaa hizi mada ila hawapati mtu.

Kiukweli ,elimu yetu sio nzuri katika kufikia malengo ya ndoa ..Zile elimu za zamani zinaonekana kama mila potofu ....Vijana wakakutana hapo Dar chuo ,baadaye wanaanza harakati za ndoa hapo washafanya mapenzi mpaka mimba au mtoto.


NBADO KISENDOFF
 
siku hizi ukipata mwanamke ukampenda MROGE, if you know you know. Mambo ni mengi
 
Back
Top Bottom