RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 3,667
- 6,914
Misamiati:-Before sijaoa nilikua na soulmate wangu mmoja hang out sana... spending sanaa..michezo ya DO or DARE..
Kuna siku nikampa deadline kua nataka kuoa akasema nimpe muda siku ilipo fika akasema still nimpe muda hapo Mimi pia upande wa pili nilikua na school mates wangu o-level nilimwacha darasa moja tulikua kwenye mahusiano.
Yule school mates wangu alinambia Mimi sieleweli anataka kuolewa so na kweli nilikua na mpoteza kimya kimya nikaenda toa mahari send-off na harusi zilipishana one week kilicho tokea yule SOUL MATE akarudi kwa nguvuuuuuuuu wakati nimeoa.
For sure Mimi nimeoa mtu anae nipenda zaidi ya Mimi navyo mpenda ni mwanamke alie ni shape kwenye vingi na alinijua tangu nikiwa kiranja o- level ni mfano wa mapenzi ya dhatii ambayo ni mpaka kifo aanze yeye au Mimi.
Sikuwa na kazi, pesa alikiwepo tupate kikubwa kidogo hicho hicho kilitutosha tunafichiana siri tuna saidiana tunashirikiana tunasaidiana nilipata ajari nikavunjika mguu sijiwezi chochote aliniogesha, nitawaza kama mwanae hapo hapo alikua mjamzito
Ushaur Oa mwanamke anae kupenda kama ulivyo usi oe matako, sura, pesa, au chochote materially Kuna mengi ya kuandika ngoja Kuna kazi niimalizie hapa
Matako,kuoa,soulmate,ajali,vunjika mguu,Do dare,sura,pesa!!
Aiseh sawa hapo kwenye matako na sura hapo!!
KAZI na utu tunasongambele!