Mnandi Jr
Member
- May 30, 2026
- 62
- 91
UNASIKIA MAUMIVU MOYONI KIASI CHA KUTAKA KUVUNJA NDOA YAKO..?
Salam..
Maisha ni mafupi sana hapa duniani, epuka kufanya vitu kwa kurudia-rudia.
Jizatiti kabla ya kuingia kwenye ndoa, ukishaingia kwenye ndoa acha maisha yaendelee.
Kuachana ni kuongeza matatizo, sio suluhisho kwa namna yeyote.
Unaingia kwenye ndoa ukiwa na wastani wa umri wa miaka 27, kama mungu atakujalia uhai una miaka 23 tu ya kupambania maisha yako, kuzaa, kulea. Kusomesha, kupangilia maisha, kujenga na kuunda hatma ya familia na maisha yako.
Baada ya hapo utakua na maisha ya kupambana na uzee, kiufupi una miaka 23 tu kwenye maisha yako yote kwa hivyo kua mungalifu, utumie muda wako vizuri kwenye miaka hiyo 23.
Kulingana na kipindi hicho kifupi, cha maisha ikiwa utaachika/kuachana na mwenza wako, na ukafikiria kuanza ndoa nyingine, kitakua kimegawanyika kua kifupi zaidi.
Kwahiyo hasara ya kwanza kabisa kwenye kuachana nikuvuruga mwelekeo wa malengo yako, na kuanza upya, halafu mfululizo wa hasara nyingine utafuata kama maumivu na majuto.
Kiachana ni jambo baya sana kwahio usilikaribishe kwenye maisha yako.
Suala la kuachana liogope, na liepuke kwa nguvu, kwa bidii na kwa utashi wako.
Dhibiti hasira, dhibiti wivu. Kusudia kifika kwenye suluhisho sio kwenye kilele cha migogoro..
Amani iwe nanyi..