serikali na ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Dr. Nchimbi (VP): Ni aidha Kuna mgogoro ndani ya serikali na CCM au mbinu ya CCM ya "jifanye uko nao, then strike hard"

    Hebu jaribu kidogo kufikiri hili; KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2... Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali.... Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum: Mwaipopo ni nani kama msemaji wa serikali na CCM.

    Moderator msibadilishe kichwa cha habari wala kukilemba. Tunaomba kujua na tunaka mtueleze serikali maana sasa ndio msemaji wa serikali upande wa msigwa. Anaweza kuitisha vyombo vya habari na tunajua ukiitisha lazima uwalipe posho.Je hizo pesa anapata wapi. Kuwa na kikundi chake cha mbwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Matendo, maamuzi na kauli za viongozi wa serikali na CCM zinafanya hata wasiopenda siasa kuwapinga, kuwachukia na kujiingiza kwenye siasa bila kupenda

    Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli. Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa serikali na CCM kwaogopa Chadema kwa kiasi hiki!

    Yaani imefika wakati sasa wafanya maamuzi wa siasa za nchi ni Polisi Waziri anasimamisha mikutano ya kisiasa kwa kutumia Polisi kwa kushindwa hoja. Tuombe kesi ya Mama iende haraka tuondokane na huu ujinga
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukikosoa serikali na CCM unaonekana CHADEMA? Na kwa nini ukisifia CCM na Serikali yake unaonekan CCM?

    Hii kasumba hiko kwa watanzania karibia 80% wewe ukikosoa serikalini tu basi wewe ni Chadema. Vile vile ukisifia serikali tu basi wewe ni mwana CCM kwamba ni makosa kua na akili huru? Tujifunze kua wazalendo na kuangalia maslahi mapana ya nchi kwanza vyama baadae CCM inaweza kupotea kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bwege: Walinipa kesi ya uongo kuwa mimi nataka niwaue viongozi wa serikali na CCM Mahakama ikatupilia mbali

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe. Selemani Bungara (Bwege) akielezea maisha yake akiwa Bungeni na nje ya Bunge na hata kwenye kipindi hiki akiwa mpinzani.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Serikali na CCM! Kwanini wananchi hawatakiwi kuvaa tisheti kwenye Mkutano na Rais au Waziri Mkuu?

    Salaam Wakuu, Hii imenishangaza na kunistaajabisha sana! Watu waliokuwa wanapokea wageni (ushers) wale ambao walivaa tisheti waliambiwa wakabadilishe au watoke hapo! Inanishangaza sana! Ndio nikajuzwa kwenye mkutano wowote na Rais au Waziri Mkuu ukiacha zile za majimboni hutakiwi kuvaa tisheti...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kiungwana serikali na CCM na NEC wanapaswa kuwaomba radhi wananchi kwa kuchafua chaguzi za 2019, 2020, 2024. Kwa kuwa shahidi zipo

    Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu. Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM Ione aibu ya kujisifia uongo kwamba wanashinda kwa kishindo badala yake walipaswa kufanya juu chini...
  11. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema haidai Vita ila inadai Haki. Ni aibu Viongozi CCM kudanganya hatika hilo

    Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
  12. Bams

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania SERIKALI NA CCM WANA LISSU-PHOBIA?

    Juzi tu hapa ccm walikuwa wanamsema MBOWE anajifanya anataka katiba mpya wakati yeye ameshindwa kuondoka madarakani Toka uchaguzi wa 1995 ni ajabu leo hii ccm imegeuka kuwa mtetezi wa mbowe swali langu je ccm na serikali yake Wana LISSU-PHOBIA?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  15. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  16. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM, Wameamua kuwahudumia Watanzania na sio kupambana na Wanaharakati wa matusi au wale we ngine wakutukana

    Serikali ya awamu ya Sita ina jukumu la kubwa la kuwaletea Watanzania Maendeleo, ustawi bora wa Maisha, huduma za Kijamii bora na usawa kwa kila Mtanzania. Kuna kelele nyingi na matusi toka kwa Wanaharakati ambao lengo lao kila mmoja anajua kuwa si jema, si kwamba Serikali ya awamu ya sita, si...
Back
Top Bottom