Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

Jiwe atabaki kwenye historia ya hii nchi kwa vizazi na vizazi kwa jinsi alivyoliletea hasara..tungekuwa tunawapumulia hawa Wakenya kwa karibu kabisa.
kwa trend hizi za kukabidhi wachina bandari!!!

subirini mtaona rangi ya maji.
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT.

Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.

Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa miaka ya hivi karibuni Uchumi ni kama ulidumaa kutoka ukuaji wa wastani wa 7% 2010-2015 hadi kufikia 4% mwaka 2021.

Hali hii ilichangiwa na sera mbaya za uchumi za Serikali iliyopita na matokeo yake ndio hayo,tumepitwa na nchi kama Angola,Tunisia,Ghana na sasa Ivory Coast.Nchi zote hizo Tulikuwa juu yao.

Mbaya zaidi hata gap la Uchumi Kati ya Mshindani wetu Kenya liliongezeka zaidi tofauti na awali ambapo Tulikuwa tunalifunga kwa kasi.

Kwa mwendo huu hivi kuna matumaini kweli huko tuendako? Nimesikitika Sana kwa hali hii kwa Nchi yenye rasilimali za kutosha .

View attachment 1836795
Ungeweka list kabla na baada na sifikiri hata kidogo kwamba kabla uchumi wa Tz umewahi kuwa mkubwa zaidi ya Angola na Tunisia
 
Kuna watu walioshindwa kujitengenezea hata vyoo wataendelea kumlaumu Meko kwa kuporomosha uchumi.Usipokuwa na akili za kupigania maisha yako ukabaki kulaumu wanasiasa utakufa masikini.Zinduka.Wanasiasa hawakuletei hela.
 
Jiulize NIGERIA imeipita SOUTHAFRCA karibia nusu
Nadhani wewe mwenyewe unajua hali ya MAISHA ya SOUTHAFRCA na NIGERIA
yaan hata WANAIGERIA wenyewe wanakuja SOUTHAFRCA kutafuta maisha
Sasa hapo ndio utajua ujui

Sisi tupo 11 ETHIOPIA saba linganisha tunavyoishi sisi na wao
Usilinganishe wananchi wa Nigeria kuwa kwenye taifa sema dogo kiuchumi kwa mantiki yako basi hilo taifa waliopo wana Nigeria lina uchumi mkubwa kuliko wanageria. Hicho ni kichekesho cha mwaka na kuonyesha hujui kupambanua mambo, sijui uelewa wako upoje.
 
Sisi uswahili mwingi Kazi hatutaki kufanya! Halafu Serikali inabidi ipunguze watumushi wawe wachache Na iwalipe vizuri Na kuwapa malengo kwa siku. Kuwa Na mashule kila Kijiji Na kuajiri walimu kila siku haiwezekani hiyo ni siasa ya akina lowasa wasiyojua Uchumi. Riba zishuke sana ili watu wakope sana wafanye biashara Na kuwekeza serikali ichukue kodi. Wameng'ang'ania ma riba makubwa wakakati nchi haina Hela! Mbona ulaya riba ni 4% uarabuni hakuna kabisa mbona wako juu yenu enyi wapenda riba? Serikali inabidi iitishe kongamano la wachumi waishauri kutoka hapa tulipo. Halafu kwenye uwekezaji tuache ujanja2 wa kuficha mikataba huku tunapigwa!
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT.

Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.

Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa miaka ya hivi karibuni Uchumi ni kama ulidumaa kutoka ukuaji wa wastani wa 7% 2010-2015 hadi kufikia 4% mwaka 2021.

Hali hii ilichangiwa na sera mbaya za uchumi za Serikali iliyopita na matokeo yake ndio hayo,tumepitwa na nchi kama Angola,Tunisia,Ghana na sasa Ivory Coast.Nchi zote hizo Tulikuwa juu yao.

Mbaya zaidi hata gap la Uchumi Kati ya Mshindani wetu Kenya liliongezeka zaidi tofauti na awali ambapo Tulikuwa tunalifunga kwa kasi.

Kwa mwendo huu hivi kuna matumaini kweli huko tuendako? Nimesikitika Sana kwa hali hii kwa Nchi yenye rasilimali za kutosha .

View attachment 1836795
Orodha yako ya lini? Kwa sababu hata wikipedia bado hawajahuisha.
 
Pili: Chumi za nchi zinaweza kupishana nafasi kutokana na kufanyika kitu wachumi huita: Economic Rebasing au GDP rebasing. So far rebasing yetu ni ya 2015. Rebasing ya Kenya ni ya 2014. Na Kenya wapo kwenye mchakato wa kurenew rebasing yao.
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT.

Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.

Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa miaka ya hivi karibuni Uchumi ni kama ulidumaa kutoka ukuaji wa wastani wa 7% 2010-2015 hadi kufikia 4% mwaka 2021.

Hali hii ilichangiwa na sera mbaya za uchumi za Serikali iliyopita na matokeo yake ndio hayo,tumepitwa na nchi kama Angola,Tunisia,Ghana na sasa Ivory Coast.Nchi zote hizo Tulikuwa juu yao.

Mbaya zaidi hata gap la Uchumi Kati ya Mshindani wetu Kenya liliongezeka zaidi tofauti na awali ambapo Tulikuwa tunalifunga kwa kasi.

Kwa mwendo huu hivi kuna matumaini kweli huko tuendako? Nimesikitika Sana kwa hali hii kwa Nchi yenye rasilimali za kutosha .

View attachment 1836795
Hayo mataifa yote ulotaja hapo no matatizo matupu, nina mashaka na hiyo listi yao na sio uchumi wetu
Hao Ethiopia kila siku wanapigana kaskazini mwa nchini yao, hao sauzi sijui kenya wamefunguana ndani kisa Korina mabalaa ya nzige ukame ulokitjiri
Naona tanzania tuna utulivu na baraka kedekede, hata kwenye kipindi tumeminywa tusiongeeongee ndio kipindi nchi ilikuwa unafanya miradi mikubwa kabisa barani

Hiyo listi yao itashtua wasiojiamini ila mtanzania anyeishi tanzania na anaona heri na hatua za nchi yake hatikisiki
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT.

Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11.

Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa miaka ya hivi karibuni Uchumi ni kama ulidumaa kutoka ukuaji wa wastani wa 7% 2010-2015 hadi kufikia 4% mwaka 2021.

Hali hii ilichangiwa na sera mbaya za uchumi za Serikali iliyopita na matokeo yake ndio hayo,tumepitwa na nchi kama Angola,Tunisia,Ghana na sasa Ivory Coast.Nchi zote hizo Tulikuwa juu yao.

Mbaya zaidi hata gap la Uchumi Kati ya Mshindani wetu Kenya liliongezeka zaidi tofauti na awali ambapo Tulikuwa tunalifunga kwa kasi.

Kwa mwendo huu hivi kuna matumaini kweli huko tuendako? Nimesikitika Sana kwa hali hii kwa Nchi yenye rasilimali za kutosha .

View attachment 1836795

sasa mkuu si hata mm naweza tengeneza tu kablog nkaandika heaviest countries in africa, unatakiwa kwenda kwenye official website ya BOT hua znakuaga shared na IMF pia either of these 2
 
Chezea IMF nyie. Mmeanza kuimba ngonjera zao watawaonyesha.First of all watawavunja confidence then wawarushe digits kuonyeaha kuwa policy zao ndo Bora. Wait and see .miaka yote tumewasikiliza hatujawahi ku experience maendeleo kama tunayoyaona.
 
wametumia kipimo cha GDP yaani thamani ya uzalishaji wa nchi na haihusiani na ubora wa maisha wa wananchi husika. Ndio maana hapo huoni nchi ndogondogo zenye population ndogo ambazo zipo chini kiuzalishaji kutokana na udogo wao

kama wakitumia kipimo cha Human Development Index (HDI) ambacho hupima ubora wa maisha ikiwemo huduma za kijamii, usijeshangaa hata Nigeria isiwepo 10 Bora
Ni kweli, kwa sababu kwa HDI Afrika inayoongoza ni Mauritius kisha Seychelles na nyingine zinazofuatia.
 
Kila namna watamchafua mzee kama uchumi uko chini kwann wao hao hao wamesema tuko uchumi wa kati unajua mm sielewi elew
 
Back
Top Bottom